Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Dec 16, 2014 #1 Kama kuna ushauri kwa viongozi was yanga ni kutosubiri kufukuzwa...nakama mwaweza mwombeni bincleb awaonyeshe alichokiona kabla ya kuondoka Yanga..wakati mwingine unasoma tu nyakati unaona mmh hapa mimba zinafwata nianze mapema Bigup Bimcleb
Kama kuna ushauri kwa viongozi was yanga ni kutosubiri kufukuzwa...nakama mwaweza mwombeni bincleb awaonyeshe alichokiona kabla ya kuondoka Yanga..wakati mwingine unasoma tu nyakati unaona mmh hapa mimba zinafwata nianze mapema Bigup Bimcleb
gbest Member Joined Apr 16, 2014 Posts 21 Reaction score 3 Dec 16, 2014 #2 Ndio walewale wapenda ushindi ushindi