Hijja Madava
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 3,302
- 1,936
- Thread starter
- #201
Kama ni hivyo anataka nini sasa? Si aendelee kuwa saidia wana Arusha ktk utaratibu huo alianzisha.Bado hajawatosheleza wahitaji.Siyo lazima awe mbunge ndo aonekane anaisaidia jamii, vinginevyo ni kutafuta mwamvuli wa kukwepea kodi maana tunaona wafanya biashara wakubwa kama yeye wanakimbilia CCM kwa lengo hilo.
mkuu hapo umenena vema sisi na lema wetu na cdm yetu