Ishu sio matunzo mkuu! Ishu ni kukaa naye cku zote,kula pamoja,kulala pamoja kila kitu.Uzi wa kizembe huu....
Ukigongewa mke unyamaze kimya. Mpe thamani yake uone kama utamchoka..... Unless uwe na matatizo yako binafsi.
Mke ili anoge mtunze vzr kuanzia lishe mavazi, nywele na ngozi. Utakuja kuwaomba mods wabadilishe title ya hii thread
Kwenye ndoa hakuna ngono weweHata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Wamemtafsiri sivyo ndivyoIshu sio matunzo mkuu! Ishu ni kukaa naye cku zote,kula pamoja,kulala pamoja kila kitu.
Hata chakula kiwe kizuri vipi ukiwa nacho kila cku kinachosha
Nyie mumemuwazia vibaya mtoa mada hamaanishi kumchukia mke ila kuna ile hali kuzoeana mpaka mnachukulia kawaida yani sasa mkijipa vilikizo vya hapa na pale hali ya kuhitajiana inakua kubwa kama ndo mkali na kawivu kanaingia hapo nguvu ya kumkamia inaongezeka.
Kuvumiliana ni kama kuna maudhi ndani hapo.ikiwa kupo salama ni hali tu yakuzoea mwili wa mwenzako.
Kukaa naye, kula pamoja na kulala pamoja kila siku inapoteza ladha ikiwa atakuwa na mwonekano uleule kila siku. Matunzo ni vile kumbadilishia mwonekano ili avutie zaidi ya jana na juzi mkuu.Ishu sio matunzo mkuu! Ishu ni kukaa naye cku zote,kula pamoja,kulala pamoja kila kitu.
Hata chakula kiwe kizuri vipi ukiwa nacho kila cku kinachosha
Hafai Hata Kwa KurumangiaHuyu hapana
Uzi wa kizembe huu....
Ukigongewa mke unyamaze kimya. Mpe thamani yake uone kama utamchoka..... Unless uwe na matatizo yako binafsi.
Mke ili anoge mtunze vzr kuanzia lishe mavazi, nywele na ngozi. Utakuja kuwaomba mods wabadilishe title ya hii thread
Mke kweli unayempenda hachoshi hoja yako ni mfu kwangu. Hata wawe saba bado hawanichoshi .Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.