Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

Katiba Mpya itafanya nini na kwanini unafikiri CCM ina maslahi ya kuwa na Katiba Mpya? Wameweza kutawala kwa miaka sitini hivi kwanini leo waamue kuja na Katiba Mpya kabisa?
Hiyo katiba mpya itakayoweka tume huru ya uchaguzi ndio itamaliza hilo swali lako la Watanzania kwa wingi wao wanataka nini.
Kwa sasa unawalaumu bure tu na swali lako halina mashiko kwa sababu hakuna uhakika kama sanduku la kura au deep state ndio waamuzi wa nani awe nani.
 
Na kama kuna kitu watu hawataki kukiangalia ni hiki; fikiria Waitara leo ni Waziri...
Kuna yule Gekul, kuna watu walipoteza maisha kumpigania kule Babati, nilikuwepo kule kipindi alipokuwa mbunge wa viti maalum CDM, leo hii waziri pia!!!!!!!!
 
Huyo Freeman 2025 si alizuia watu wengine wasichukue fomu ya ugombea urais sababu ya Lowassa!! Hata katika iwe bora kuliko zote duniani, kwa upinzani huu ni bure kabisa
😳 2025 imeshafika?
 
Reactions: BAK
Kuna yule Gekul, kuna watu walipoteza maisha kumpigania kule Babati, nilikuwepo kule kipindi alipokuwa mbunge wa viti maalum CDM, leo hii waziri pia!!!!!!!!
Kwanini wanaccm mnatelekezwa halafu mamluki wanapewa vyeo ? mjitathmin sana vinginevyo mtabaki kupiga deki tu
 
Mbona kuna checks and balances...
Mwenyekiti wa CCM anaweza kumuondoa spika wa bunge au mbunge yoyote wa chama chake bungeni.

Rais anateua jaji mkuu, jaji Kiongozi, DPP na majaji wa mahakama zote bila uthibitisho wa bunge.

Rais anateua katibu wa bunge.

Rais anateua wakuu wote wa mikoa na wilaya.

Rais anaweza kulivunja bunge

Endelea...
 
Kwanini wanaccm mnatelekezwa halafu mamluki wanapewa vyeo ? mjitathmin sana vinginevyo mtabaki kupiga deki tu
Mimi sihitaji cheo chochote mkuu, tatizo linakuja hao wapinzani fake wanaopiganiwa na watu mwisho wa siku wanahamia CCM ili kutetea ubunge wao! Thats stupid, sitokuja kupoteza muda wangu kumsapoti mpinzani yeyote TZ! Huyo Lema anaita wenzake waoga huko Twitter wakati yeye kakimbia nchi!!!! Kwa sasa ni kumpata mtu muadilifu ndani ya CCM atuongoze, na tunaye Samia
 
Reactions: Ame
UPUUZI MTUPU!

 
Acha kunyooshea wengine vidole, huko ulipo kupo salama Mr. yoda?
 
Katiba Mpya itafanya nini na kwanini unafikiri CCM ina maslahi ya kuwa na Katiba Mpya? Wameweza kutawala kwa miaka sitini hivi kwanini leo waamue kuja na Katiba Mpya kabisa?

Mkuu

Labda tu waulize

wanataka rasimu ipi ya katiba?

Ile ya CCM iliyoua UJAMAA..?

Rasimu ya Warioba inayonyima CCM USHINDI?

Rasimu ya Samwel 6.......

Shukrani
 
Wewe jamaa sijui ni uzee au ndio uwezo umeporomoka. Aiseee
 
Ukitaka kupata kitu ambacho hujawahi kukipata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kukifanya.
 
Kifupi hawajui wanachotaka.....

Hizi tabia zao zimenifanyi niamini JPM alifaa kuiongoza hii nchi hata miaka 50 ndio vile tu mapenzi ya Mungu....kifupi tunahitaji Rais mtemi
mndava na katili ili akili zikae sawa kidogo..
 
Toka mwanzo nilitamani mama awe mkali, hata ikiwezekana kuliko Magufuli, maana nilijua kuna watu watam-look down. Watu walidhani kwa kuwa ni mwanamke basi hawezi kuwa steong na mwenye misimamo imara, imekula kwao.
Waliokuwa wanaimba 'mama anaupiga mwingi' ndiyo hao hao sasa wanalia kilio cha mbwa, midomo juu kwa sababu walijiaminisha mama ni dhaifu kwa hiyo wakadeka.
Way to go mama, simamia unachokiamini 💪🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…