white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,894
...japo naweza kuonekana c mzalendo poa,...
Chelsea ilifunga Bayern Munich, tena katika uwanja wa nyumbani kwao mjini Munich.
Uwezo wa Chelsea ulikuwa chini ukilinganisha na Bayern Munich.
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,
Utaitwa mhaini wewe.
Personally, ningefurahi kama tukiwafunga, lakini in reality jamaa wako mbali sana.
But anything can happen in football. Nonetheless, it will be one of the biggest upsets in African football kama tukiwafunga.
Badala ya kuwapa wachezaji too much pressure and expectations, let them go on the pitch and enjoy for themselves.
Let them play free bila kujihisi kuwa tumewatwika mzigo mkubwa ambao pengine hata hawastahili kuubeba.
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,
broo chizenga umekua adimu sana katika janviwe toa ahadi tu stars ikiifunga ivory coast utameza nini?tairi la trekta la nyuma au utajilamba ulimi wako mwenyewe?
siku hizi watu hapa wanatoa ahadi halafu watu wengine kazi yetu ni kufuatilia na kuwashikia bango watoa ahadi watekeleze ahadi zao
Mkuu wangu EMT , si vichekesho:
Mpira ni magoli..ni mchezo wa nafasi. Kila timu itapata nafasi za kufunga magoli. Tofauti yake ni matumizi ya nafasi hizo:
-Wigan Fc Vs Man City [FA CUP FINAL]
-Zambia vs Ivory Coast[AFCON 2012 ]
Yote yanawezekana..inategemea na akili ya mtu.
:disapointed:
we toa ahadi tu stars ikiifunga ivory coast utameza nini?tairi la trekta la nyuma au utajilamba ulimi wako mwenyewe?
siku hizi watu hapa wanatoa ahadi halafu watu wengine kazi yetu ni kufuatilia na kuwashikia bango watoa ahadi watekeleze ahadi zao
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,
Moja kati ya thread isiyo na mantiki kuwahi kuisoma katika siku za hivi karibuni,mleta mada kweli "HEWA"
hao Ivory Coast wasifungike ksbb gani? mleta mada unashindwa hata kufanya analysis kidogo ya uwezo wa team yetu ya Taifa hususani katika michezo wanayocheza hapa nyumbani,hivi nani alitegemea kama Morocco wangelala 3 hapa,na Cameroun nao?...huko ni kukosa kujiamini bila sababu za msingi