Tuache Njaa Tujenge CHAMA


BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
427
Likes
3
Points
35
BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
427 3 35
Wabunge wa chadema ndio hao wameshaingia bungeni....napia wameanza kuingiza pesa kwa vikaoo wanavyoingia...watu huku mitaani wameshaandaa shida zao...jamani ndugu zanguni tuwaache kwanza wabunge wetu wapumue tusianze kuwaomba pesa na kupeleka shida binafsi za kutaka usaidiwe pesa....akisema hana unaanza majungu na kuanza kuponda chama kwasababu ya maslai yako binafsi....ndio wanapata pesa basi tusiwape stress washindwe kufuatilia hoja za msingi na kuanza kufikiria shida zako binafsi...tuwape nafasi zaidi wapumue na wachanue ili wapate nguvu na watuwakilishe zaidi.....kama tuna nia ya maendeleo na mabadiliko tuzidi kuwapa support wabunge wetu na madiwani....najua pesa za maendeleo za baadhi ya majimbo na mikoa zitacheleweshwa au kubanwa ili ccm apate sababu 2015....maendeleo huletwa na wananchi serikali ipo tu kutunyonya zaidi...tuangalie viongozi wachache wenye nia na sisi twende nao...hawa wenye kasi kuna siku tutawakuta na kuwaukumu..I humbly Submit
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,608