Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,312
- 152,112
Hivi sisi ni binadamu kweli au sisi ni just watu tu tusio na sifa ya kuitwa binadamu tofauti na viumbe wengine?
Kuna mtu alitamka hadharani kuwa hatafukua makaburi lakini leo mtu huyo huyo anakuja na kauli ya kutaka wahalifu waadhibiwe bila kujali vyeo vyao/wao ni kina nani alafu eti tunashangilia na kupongeza.
Kama alishindwa kuwashughulikia katika jinai "X" leo mtu huyo huyo ndio atakuwa tayari kuona wakichukuliwa hatua katika jinai "Y"?
Hivi sisi uwezo wetu wa ku-reason uko wapi?
Binadamu aliepewa akili, uwezo, maarifa na utashi anaweza kweli ku-behave kama sisi? Sisi ni binadamu kweli tuliokamilika au sisi ni watu tu kama viumbe wengine? Inasikitisha jinsi tunavyochezewa akili!
Mnaoshangilia majibu yenu kuwa nyinyi ni wajinga mtayapata baada ya muda pale mtakapoona mliokuwa mnayatarajia hayatokei.