Tuache kumuita hivyo

Tuache kumuita hivyo

Mi nilishaacha huo ujinga, wa kuita mama wapo kibao, mama gani asie na huruma na damu za watoto wengine, jina lake alishajipa chura kiziwi
 
Mimi huwa namuita Mzanzibar ili kumbagua kabisa kuwa huyu si mtanganyika mwenzetu,

Na ndo maana katuletea wauaji ili watuue watanganyika
Mkuu sasa hivi chama chako Ccm hutaki tena kukisikia? Watoto wa Arusha wanasema umechafukwa na roho
 
1763219185056.jpeg
 
Najua mazoea yana tabu.

Lakini baadhi ya tabu kuzipitia ni jambo la muhimu sana.

Mimi ningependa tuache kumuita huyu Samia yale majina yenye heshima heshima.

Tuache kumuita ‘mama’. Kila mtu humu ana mama yake.

Suala la kumuita yeye ‘mama’ tumwachiem Abduli na ndugu zake.

Huyo si mama yetu. Angekuwa mama yetu asingeleta wadunguaji wake kuua watoto na watu wengine wasio na hatia yoyote ile.

Pia, mimi nimeacha kumuita ‘Rais’.

Simuiti hivyo kwa sababu kakosa sifa ya kuitwa hivyo.

Kwa hiyo kuanzia sasa mimi nitakuwa namuita kwa jina lake.

Jina lake ni Samia au ukipenda, Samuya.

Ungana nami katika hii jitihada ya makusudi.
Mimi sitaki hata kumuita Samia, kwa sababu kuna Samia wenye roho nzuri sana ninaowafahamu.

Nitamuita Samia The Killer, Rais Haram au jina jingine lolote linaloelezea faithfully yeye ni mtu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom