Tuache kumuita hivyo

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,115
Reaction score
136,850
Najua mazoea yana tabu.

Lakini baadhi ya tabu kuzipitia ni jambo la muhimu sana.

Mimi ningependa tuache kumuita huyu Samia yale majina yenye heshima heshima.

Tuache kumuita ‘mama’. Kila mtu humu ana mama yake.

Suala la kumuita yeye ‘mama’ tumwachiem Abduli na ndugu zake.

Huyo si mama yetu. Angekuwa mama yetu asingeleta wadunguaji wake kuua watoto na watu wengine wasio na hatia yoyote ile.

Pia, mimi nimeacha kumuita ‘Rais’.

Simuiti hivyo kwa sababu kakosa sifa ya kuitwa hivyo.

Kwa hiyo kuanzia sasa mimi nitakuwa namuita kwa jina lake.

Jina lake ni Samia au ukipenda, Samuya.

Ungana nami katika hii jitihada ya makusudi.
 
Ninachojua
Mm saivi mtu akiniuliza Rais wako ni nani? Siwezi mjibu coz simfahamu hata jina... Nasikiaga tu Samia.
 
Mimi mkitaka tuelewane wanipe ubunge na mimi
Nyie leteni utani, demands zangu ni mbili,
Samia akishauawa rais nitakua mimi. Sitaki discussion. Essay imeishia hapa.
 
Reactions: vnn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…