tuache kuapa kwa vitabu vya dini.

Kelvin Temba

Member
Apr 18, 2013
79
70
nashauri kwenye kiapo mtu kiongezwe neno hili, nitasema kweli ya Mungu daima, na siku nikidanganya nife siku hiyo hiyo, au niumwe ugonjwa nisipone. hii nafikiri itasaidia viongozi wetu kusema ukweli hakuna maana uongo umezidi nchi hii na uongo unatoka kwa shetani, kwa hiyo tumemkabidhi shetani nchi yetu, hakuna kitu kinaenda sawasawa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom