MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 986
- 1,515
Jamani wengi tulikuwa na mashaka na project hii hasa kipindi cha mchakato wa kuapply hasa kwa mshahara wao minono walioahidi kwa watakaopata hapo na bonus za kutosha full motisha kwa mwalimu wa kitz....miezi imeenda tupeni feedback waliopata kazi huko au kama kuna jamaa yako amepata huko tujue kama tushapigwa chini au michakato inaendelean tuishi kwa imani?