Ttcl

Ttcl

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habar zenu ndugu zangu wanajamvi, naombeni msaada namna ya ku-unlock modem ya huawei ec122. Nimezunguka google wee mpaka nimechoka, naombeni mnisaidie tafadhali. Ahsanten
 
Hii ni News Alert? Tuheshimu jukwaa.
 
Wakati unatafuta unlock kaa ukijua hiyo modem ni tech Tofauti na mitandao ya GSM so haitafanya kazi hata ikiwa unlocked kwenye mitandao yote kasoro labda sasatel kama bado wapo.
Edit: zantel nao walikuwa na cdma sijui kama bado ipo.
 
Ok! Ahsante kwa mchango wako ndugu
 
Back
Top Bottom