TTCL

TTCL

Ngatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
263
Reaction score
185
1071088

msaada wa kuondoa hili tatizo pamoja na setting za interment za ttcl pia roaming icon inaonekan kwnye bar ya network
 
Click yes Mkuu coz TTCL wana roam nahisi wana minara michache
 
Click yes Mkuu coz TTCL wana roam nahisi wana minara michache
hata nikiclik yes roaming icon inabaki na nikibonyeza menu kila mda inaniletea hivo ivo na data haisomi nipo Dodoma mipango
 
hata nikiclik yes roaming icon inabaki na nikibonyeza menu kila mda inaniletea hivo ivo na data haisomi nipo Dodoma mipango
Set APN yako hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20190414-095347.png
    Screenshot_20190414-095347.png
    44.3 KB · Views: 50
Click

Click Ok tu! Hio haina shida, sabu TTCL wana Roam network yao kupitia minara ya tiGO...
hats nikiclik network haipandi niefanya setting zot lakin R haiondoki
 
hats nikiclik network haipandi niefanya setting zot lakin R haiondoki
Hiyo R mkuu haina effects zozote mkuu! It stands for the word "Roaming" ndio maana inaweka R pale juu endapo kama mtandao husika hauna mnara hiyo sehemu ulipo na unatumia miundombinu ya mtandao mwingine ili uweze kufanya kazi ndio maana ya Data Roaming....
 
hats nikiclik network haipandi niefanya setting zot lakin R haiondoki
Kwa screencapture ulotoa nimeona 3G ipo line 2 na TTCL ipo line 1 ina maana unatumia internet ya line 2.
Hebu rudisha network access line 1!..
 
Kwa screencapture ulotoa nimeona 3G ipo line 2 na TTCL ipo line 1 ina maana unatumia internet ya line 2.
Hebu rudisha network access line 1!..
Kweli inaonyesha haja select simcard ya internet iwe TTCL sim1
 
Kweli inaonyesha haja select simcard ya internet iwe TTCL sim1
Hilo ni tatizo la TTCL kwa simu za 3G inataka yenyewe ndio iwe selected kama default na akiselect kuna hatihati Line 2 ikawa haipatikani though ipo online!.
Ngoja tusubiri mrejesho.
 
Huu mtandao utafikiri unamilikiwa na machokoraa badala ya serikali maana ni upuuzi mtupu

yani hata customer care yao ni kituko. hivi ni lazima serikali kuendesha kampuni ya mawasiliano? bora hata waibinafsishe tu.
 
View attachment 1071088
msaada wa kuondoa hili tatizo pamoja na setting za interment za ttcl pia roaming icon inaonekan kwnye bar ya network


Nenda kwenye ofisi zao utapata majibu sahihi. Huku kila mtu ni taalamu, utapata majibu tofauti sana. Labda ukutane na wataalamu wa hayo mambo ndo wanaweza kujibu sahihi.
 
Back
Top Bottom