Eddy da Rose Jr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 244
- 252
Hivi hawa Tanesco ni kwamba???
Na hili ndio linatukwamisha sana kwenye mambo mengi, ni kama vile hatuna dira wala mwelekeo wetu. Katika nyanja ambazo zipo mbio sana kwakweli teknolojia inakimbia sana, ila ndip tupo nyuuma sanaa. Hii sio nzuri kabisaKila mkurugenzi anayeingia anakuja na mipango yake. Mfano yule Kindamba alitaka TTCL iwekeze kotekote kuanzia calls, SMS, dat mpaka faiba majumbani nzuri zaidi ukimpa ushauri anajaribu hata kuufanyia. Ukimwambia kifurushi hiki ni kidogo hakifai kiongeze anajaribu kushugjulikia
Sasa huyu mkurugenzi mpya bwana Peter Ulanga yeye anataka mambo ya intaneti ya Faiba majumbani na maofisi tu hataki kusikia kuhusu mambo ya sms, vifurushi vipya wala T PESA yani hataki kusikia kabisa anawae faiba tu
Na voda angefuatia.Wangeuliza na response ya customer service, halotel ndio ingeshika mkia
Ngoja waje😁Wenzao Tigo ,Airtel na Voda kutwa wako mabarabarani kupiga promo.Wao wananenepeana tu maofisini kama panya wa stoo.