PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
Speed yao nzuri usipime!Speed yao ikoje
Ova
Vp 40 ya mwendazake ni lini mkuu, samahani lkn.TTCL mbona walirudisha vifurushi vya zamani kesho yake baada ya Tangazo la TCRA? 1000 Tshs napata 1.2GB dk 10 za mitandao yote, sms 50 kwa siku 5....speed yake sasa 3G utadhani 4G, zile muvi kubwa za torrents najiunga na kifurushi cha #Bandika BAndua usiku saa 6 nadownload GB nying tu kwa sh. 1000!
Samahaniu nimeandika utadhani ni afisa masoko wa TTCL, mimi ni mwananzengo tu, nipo zangu kijijini, ila penye kusifia lazima tusifie bwana! Au nasema uwongo wanajF
Hao kwangu mimi nawaona kama tbcDu kuna raia wa kawaida anatumia TTCL? Hatari sana.
Vodacom ndiyo sirikali yenyeweVodacom awaelewi kabisa hilo agizo
Endeleeni na tbc yenuSpeed yao nzuri usipime!
Inatumiwa na nyinyi lumumbaTTCL mbona walirudisha vifurushi vya zamani kesho yake baada ya Tangazo la TCRA? 1000 Tshs napata 1.2GB dk 10 za mitandao yote, sms 50 kwa siku 5....speed yake sasa 3G utadhani 4G, zile muvi kubwa za torrents najiunga na kifurushi cha #Bandika BAndua usiku saa 6 nadownload GB nying tu kwa sh. 1000!
Samahaniu nimeandika utadhani ni afisa masoko wa TTCL, mimi ni mwananzengo tu, nipo zangu kijijini, ila penye kusifia lazima tusifie bwana! Au nasema uwongo wanajF
SureHao kwangu mimi nawaona kama tbc
Kumbe nilikuwa sijui mkuuVodacom ndiyo sirikali yenyewe
...sote njia yetu moja, na hakika kwa Mora wetu tutarejea, kumkosea heshima marehemu sio utamaduni wetu labda wale mashoga wa Brussels tu!Vp 40 ya mwendazake ni lini mkuu, samahani lkn.
Ni tarehe 28 April, unataka kwenda kufanya matambiko?Vp 40 ya mwendazake ni lini mkuu, samahani lkn.