TTCL yairuka UDART tatizo la tiketi za mwendokasi, yasema mkataba wao unahusu kutoa huduma ya internet pekee

Kwa hiyo UDART alivyompiga chini MaxMalipo hakua ameandaa mbadala wake?

Na kama tickets ni zile za kuchana kwenye vishina kama zamani, huo mtandao wanaousemea TTCL ni upi sasa? Kwa ajili ya nini?
Mtandao wa internet unaowezesha shuguli nyingine za kutoa huduma ya usafirishaji zifanyike kwa wakati na kwa ufanisi.
 
Haaa mkuu awasaidie kwa sababu alienda kuzidua ayo mabasi yaani kila kukicha mambo yanabadililka
 
Kwa hiyo UDART alivyompiga chini MaxMalipo hakua ameandaa mbadala wake?

Na kama tickets ni zile za kuchana kwenye vishina kama zamani, huo mtandao wanaousemea TTCL ni upi sasa? Kwa ajili ya nini?
Maswali mazuri na fikirishi na aina yake kupata majibu ni ngumu .......Ila dart n udart wote ni wapigaji tyuuu
 
Mchezo uliopo ni kwamba UDART kwa kushirikiana na Maxmalipo walikuwa WANAPIGA.
Mzee mzima kashitukia mchezo KABUTUA kama kawaida yake, sasa kinachofanyika ni hujuma ili kuona kama watafanikiwa kuendeleza ULAJI.
Wakawaulize jamaa wa vituo vya Mafuta kuhusu machine za EFD arafu ndio watajua nataka kucheza na KICHWA cha aina gani.
 
Hatutakaa tuendelee kwakuwa tuna ujanja ujanja mwingi na tamaa ya utajiri wa harakaharaka kama vile tumeambiwa tunakufa jioni ya leo
Well said. Mradi huu unaendeshwa kiujanja ujanja sana. Yani arguments zao za kishenzi sana. Watu wa mbezi wanapoteza shs 500 kwa siku (wamezuia utoaji wa kadi), na ni miaka miwili sasa no one cares. Nahisi kuna back up kutoka somewhere, si sawa

Huwa najiuliza swali hili" je serikali haioni, wala halijui yanayofanika. Inawezekanaje mradi wa gari 300, zinaoperate gari 140 hapo hujatoa mbovu. Naamini efficiency ya mradi huu haizidi 25%, kwa maana hiyo kuna haja gani ya kuwa miradi mikubwa? Inatusaidia nini sasa? Yani nchi za kiafrika sijui tumerogwa?!!!
 
Tuliambiwa TTCL atachukua nafasi ya MaxMalipo.

Mbona wanakana tena?
 
Mchezo uliopo ni kwamba UDART kwa kushirikiana na Maxmalipo walikuwa WANAPIGA.
Mzee mzima kashitukia mchezo KABUTUA kama kawaida yake, sasa kinachofanyika ni hujuma ili kuona kama watafanikiwa kuendeleza ULAJI.
Wakawaulize jamaa wa vituo vya Mafuta kuhusu machine za EFD arafu ndio watajua nataka kucheza na KICHWA cha aina gani.
Ill defined. Mzee yupi? Hakuna cha mzee wala nini?
 
Back
Top Bottom