Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Kweli Mugambo wanaruka na kukanyagana, si yetu macho.View attachment 756180
Itakua Bado TTCL hawajachukuaTuliambiwa TTCL atachukua nafasi ya MaxMalipo.
Mbona wanakana tena?
Hiyo ni headed paperUtata ni hiyo press release haijawekwa muhuli wala kusainiwa.
Hawajachukua badoKwani nini huku inaonekana wazi waliposema watachukua kazi ya max... ni kama hawakufikiri kuwa hawana uwezo huo.. au wafanyakazi wao hawajielewi kwa kujifanga wanajua kazi baada ya kushindwa wanaruka na kuandika hayo..
Zinatolewa ticket za daladala UDASasa nani anadeal na utoaji tiketi kama maxcom wamefurumushwa?
Basing on your heading mimi naona TTCL imewaruka MaxCom
Mnamo tarehe 13 Aprili 2018 UDA-RT walitangaza kuiondoa kampuni ya Maxcom Africa kwenye mradi na kuipa kazi kampuni ya TTCL corporation bila kufuata taratibu zozote za kimkataba, bila kutoa notisi na bila kurasimishana makabidhiano ya mradi.
Maxcom Africa yatolea ufafanuzi tiketi zisizo za kielektroniki kwenye Mwendokasi. Yafungua kesi ya Madai dhidi ya UDA-RT
Wasimamiz udart inabd wajitafakar mgogoro wao na maxmalipo ndo shidaa na pia kulazimisha wafanyakaz wa maxcom kusain mikataba mipya bila kulipw na maxmalipo ni uonez wa waz waz serikal inabd iingilie kat
Kama nauona vile mwisho wa MAXCOM kwenye tenda zote huko serikali.
Nawachek maxcom afu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Post zangu zipi, acha kujipendekeza!we jamaa mbona post zako unalaumu sana ttcl utakua maxcom lazma wewe
Hao MaxMalipo naomba waminywe mpaka wakome, kuna lijamaa linaitwa Deo lina roho mbaya kama shetani.Eti leo MAXCOM wanakuja mitandaoni kuomba sympathy ya watu. Sasa kama umeshafungua kesi mahakamani sasa unakimbilia huku mtandaoni kutaka nini. Kwani mitandao ndiyo itakayoamua kesi yako?
MAXCOM wapambane kivyao huko mahakamani. Inashangaza sana eti viongozi wa MAXCOM wanatetea wafanyakazi walivunjiwa mkataba wao!
Waswahili huwa wanasema, mwosha naye huoshwa. Kama unajua historia ya viongozi wa MAXCOM kamwe huwezi kuwahurumia kwa hiki wanachofanyiwa.
Wewe ni typical Tanzanian. Unafurahia mwenzako aliyefanikiwa eti ashughurikiwe kama vile hiyo itakufanya wewe kufanikiwa. Ingekuwa kampuni ya nje ungesikitika. Yaani Hata MKUU wetu nae aliwahi kusema anataka waliofanikiwa waishi kama mashetani so sishangai ndivyo tulivyo. Ndio maana kila kitu made in China hadi vibua tu ambao wamejaa tele baharini kwetu. Hongera kwa kuwa Mtanzania halisi. Yaani hujaona madudu wa nayo fanya hao Kina Kisena ila ukafurahi tu hilo la KufilisiwaHao MaxMalipo naomba waminywe mpaka wakome, kuna lijamaa linaitwa Deo lina roho mbaya kama shetani.
Wafinyeni hivyo hivyo mpaka wakome. Ikibidi wafilisike kabisa