Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,837
Kwenu TTCL,
Mlikuja vizuri katika wilaya zetu na kuanza kupata Wateja wengi, hasa Watumishi wa serikali.
Lakini Mnakera sana, nimepatiwa line ya TTCL na kuweka sh. 1000 hapohapo ili kuungwa na ofa ya nanenane ya kifurushi cha data lakini maajabu ni kwamba wahudumu wenu wakashindwa kuniunganisha wakanieleza tu namna ya kwenda kujiunga mwenyewe.
Sasa katika kujiunga nimetuma pesa kutoka kwenye bank A/c kwenda T-Pesa ikakataa mara 3 kufika nikawauliza TTCL customer care kulikoni wakasema hiyo bank yako ndio yenye tatizo, lakini sshv nimetuma kwenda Mpesa ikakubali.
Kingine hata kuweka tu pesa kutoka kwenye T-Pesa kwenda kama Airtime kwenye line ya TTCL HAIKUBALI.
Yaani hawa jamaa nao ni hovyo tu !!!!
Unawapigia customer cares kila mmoja anasema lake.
Niliamua kuachana na line ya tigo kwaajili ya TTCL lakini huku ndiko hakueleweki kabisa.
NIMEUDHIKA SANA.