TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,634
10,715
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo

Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
 
Hawa jamaa aisee. Mimi nimeshaweka kapuni line yao. Halotel wana unlimited usiku for 1500
 
Hii ni vifurushi vya internet vya wiki

Screenshot_20200805-085111.jpg
 
Back
Top Bottom