NdioHivi halotel Wana 4g
hiki nakipataje?Airtel wako vzr aisee c bundle tyu hata dk wapo vzr. Amia airtel ndg yng@Mayu
The smartphone networkView attachment 1527972
Mkuu nimeipekua line yangu hadi nikaiona nikaisajili fastaBeba mizigo yako yote alafu njoo halotel haraka sana kabla hatujakuacha, 1500 tu shusha hata gb500.
Bandika bandua ilikua poa sana aisee. Nilikua naitumia sana nikirudi home mida ya saa mbili baada ya mishe misheNa bandika bandua wamebadili muda....Ilikuwa buku kwa siku unapata 4gb (500mb saa 12 asubuh hadi 1:59 usiku+3.5gb kuanzia saa 2 usiku hadi 11:59 asubuhi.Sasa wamebadili muda wa matumizi imekuwa 500mb kuanzia saa 12 asubuh hadi 5:59 usiku+3.5gb kuanzia saa 6 usiku hadi 12 asubuhi.Dah naelekea kukimbia huu mtandao mana nilikuwepo kwaajili ya izo bando konki.
Nimeuza router yangu ya ttcl aisee. Net imekua slow na bei wamepandisha. Nimehamia halotel. 4G yao ni hatari. Sema kuna maeneo inapotea, hata hapa town. Ila 3G yao bado ni nzuri piaHere are my Comments
Aiseee mwanzoni mwa Mwaka 2016/2017 TTCL walikuja na Mtandao wao ukiwa na Huduma ya 4G na 3G wakati huo ilikua lazima uwe na Smartphone ndo Inashika Mtandao ulikua na Speed nzuri.
Kwa Sasa binafsi nilijiunga Kifurushi kwa ajili ya Router aisee nilikua sijatumia Mtandao wa TTCL kwa Muda mrefu. Jamani Umekua very slow yaani ni slow kweli kweli mimi kwangu Bei si tatizo ila Upo slow sana.
Hawa Halotel watakua na Market share kubwa sana tunakoelekea Vodacom na Tigo wajipange . Fiber zinawasaidia sana kuliko mitandao mingine inayotumia minala tuu. Bravo Halotel
Hivi Router ya TTCL huwezi Ku Crack?Nimeuza router yangu ya ttcl aisee. Net imekua slow na bei wamepandisha. Nimehamia halotel. 4G yao ni hatari. Sema kuna maeneo inapotea, hata hapa town. Ila 3G yao bado ni nzuri pia
Inawezekana. Sema jamaa wanadai mpk 30k maana sio za Huawei wala ZTE zile. So kupata codes ni ngumu kidogoHivi Router ya TTCL huwezi Ku Crack?
Hahaha umenikumbusha walivyoanza mabundi night tulikuwa tunajiunga kwa sh. 200 (mia mbili) kuanzia saa nne usiku hadi asubuhi kweli tulienjoy sana lakini siku hiziLeo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo
Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
Hallotel now wako na 4g kwani...kumbe wamejikok kivingineNimeuza router yangu ya ttcl aisee. Net imekua slow na bei wamepandisha. Nimehamia halotel. 4G yao ni hatari. Sema kuna maeneo inapotea, hata hapa town. Ila 3G yao bado ni nzuri pia
Ally Kiba anatumia TTCL, wewe nani?TTCL Wamepunguza GB za kifurushi Cha mwanachuo (boom pack)! Internet yenyewe iko slow Sana sijui wanajivunia Nini. Hili bundle likiisha nitahamia halotel
Wamemkodisha tu apige promoAlly Kiba anatumia TTCL, wewe nani?View attachment 1529089
Nimehamia hallotel 4g chausiku hakina kipimo cha data ni muda tu 6-12....Hallotel now wako na 4g kwani...kumbe wamejikok kivingine
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo
Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?