Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Baada ya mwaka urudi hapa!Aman itamalaki kwenu wote
Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa
TTCL nyie ni wanyama hatari sana
Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu
Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee
Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee
Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu
Safi sana