TTCL Nimewanyoshea mikono nyie ni washenzi wa lagos

Kabla sijaanza kutumia Zantel, kwangu best ilikuwa Halotel, inafuatia TTCL. Hata hivyo, nikawa natumia zaidi TTCL kwa sababu bundles zao ni cheap! Nilipoanza kutumia Zantel, kwangu Zantel nimegundua ndiyo best ikifuatiwa na Halotel, kisha TTCL. However, kama ulivyosema, sometimes inategemeana na maeneo but Zantel kwa hapa nilipo (Dar) ni nyoko! Ukiona nime-sacrifice Sh. 2000, basi jua si bure! Just imagine, leo naandaa chai nimeacha inaanza ku-dowload 3.3GB za Money Hesit, ile namaliza, nakuta 3.3 GB nazo zote zimefutwa kama masihara vile!!
Mkuu, mitaa gani ina speed hiyo? Ni modem au simu? Angalau nije ku-download series ninzotaka
 
Mkuu, mitaa gani ina speed hiyo? Ni modem au simu? Angalau nije ku-download series ninzotaka
Mi napatikana Usalama, Chang'ombe na sehemu ninayoishi ina sifa moja ya msingi! Voda na uzuri wake wote, hapa ninapoishi speed yao mbovu! Tigo na Airtel ndo wala usiguse! Wadau wanadai ni kwa sababu tumezungukwa na maminara!
 
Bundles za Zantel zikoje? Naomba mchanganuo mkuu.
Mimi huwa natumia bundle ya 10GB kwa wiki, kwa Sh. 12,000. Lakini pia wana vifurushi vya 2.5GB/Sh.8000/week, 1.2GB/Sh 5000/week, 700MB/Sh.3000/week. Vifurushi vyao vya mwezi, ni kama TTCL tu, havi-make sense! Kwa mfano, kuna kimoja 14GB/Sh 35000/mwezi. Hii inaweza kumsaidia mtu ambae hatumii sana intanet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom