TTCL Nimewanyoshea mikono nyie ni washenzi wa lagos

Aman itamalaki kwenu wote

Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa

TTCL nyie ni wanyama hatari sana

Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu

Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee

Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee

Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu

Safi sana
Baada ya mwaka urudi hapa!
 
Mwezi huu mwisho navunja laini ya voda nihamie TTCL
 
Lipia tangazo kwanza
 
Voda mi siwaelewi kabisa kadiri unavyokuwa muaminifu wa kununua vifurushi vyao Mara kwa Mara ndio wanakuona boya wa kupunguza vifurushi vya internet na kuongeza midakika ya mangezi!! Sijui aliyewaambia tunataka kuongea sana ni nani?? Nami nasepa Voda faster hawana msaada wamezidi unyonyaji.
 
Ngoja namm kesho niitafute
 
Hata mm wananifanyia huo upuuzi,Nadhani nimevumilia sana natakiwa kutafuta changamoto nyingine
 
Karibu mgeni,hiyo ni 7,7 ofer ngoja iishe!!
Aman itamalaki kwenu wote

Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa

TTCL nyie ni wanyama hatari sana

Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu

Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee

Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee

Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu

Safi sana
 
TTCL ya hapa Tanzania au ya inchi gani? Maana TTCL ya Tanzania kila saa inafanya roaming na tigo, TTCL ya Tanzania hata ukiwa kwenye jengo lao la HQ unapata 3g, hiyo Tpesa yao ndio balaa kuinunua luku Ijumaa inakuja J4 sasa ww sijui unamaanisha TTCL ipi
 
Ni upumbavu kupinga kila kitu.
 
Aman itamalaki kwenu wote

Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa

TTCL nyie ni wanyama hatari sana

Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu

Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee

Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee

Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu

Safi sana
Wapo hivi mwenyewe nimehamia juzi nikawasifia balaa yaan nimehamia ijumaa aisee wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom