TTCL Nimewanyoshea mikono nyie ni washenzi wa lagos

Aman itamalaki kwenu wote

Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa

TTCL nyie ni wanyama hatari sana

Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu

Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee

Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee

Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu

Safi sana
 
Sitaki kuingilia argument mliyonayo, lakini nimekuwa mtumiaji wa TTCL kwa mda sasa. Japo inategemea na eneo(kama ilivyo mitandao mingine) kwa experience niliyonayo ya utumiaji wa net hapa bongo, TTCL is the best.
TTCL ndo baba lao
 
Haujakutana na Vodacom siku ukikutana nayo utanyoosha mikono 3G yao ni 4G ya tigo katatizo ni gharama woiii 😳😳
 
hujatanabaisha vizuri hiyo ndoa yako na ttcl wewe ndio umelioa shirika au wewe ndio umeolewa na shirika
 
Mkuu kwa upande wangu TTCL waliniboa sehem moja tu kwenye vifulushi vya mda wa maongezi,mimi mara nyingi napenda kupiga kuliko kuchati,sasa hawa jamaa awakula rafiki kwangu kwani walikuwa wanatoa dkika nyingi TTCL to TTCL kuliko kupiga kwenda mitandao mingine sasa hapo mi ndo walinipoteza.
Aman itamalaki kwenu wote

Baada ya kuteswa kwa miaka kazaa na washenzi kazaa yaan mitandao mishenzi shenzi sasa hatimaye nimepata mchumba mpya ambaye tiar nishafunga naye ndoa

TTCL nyie ni wanyama hatari sana

Kwanza internet mtandao umetulia kishenzi sijawahi ona hawa jamaa cm haikwami kabisa hata kidogo yaan ni kuchumpa tu

Tunakuja kwenye gharama za vifulushi bei ni kama bure aisee

Toka nimesajili saiv natumia kakifurushi kamoja hivi unaweka jero unapewa mb kama mia saba kwa week nzima hiyo ni offer ndogo sana kwao kuna offer kama milion hivi na za bei chee

Nyie ni wanyama endeleen na unyama wenu

Safi sana
 
TTCL hamna kitu,yani hata uwe katikati ya jiji mtandao uko chini tu,very poor indeed.
 
Now days ipo poa sana asikwambie mtu.

Hiyo poa imeanza lini? TTCL ni mtandao mbovu kila sehemu

-Network mbovu

-Vifurushi ndo usiseme kabisa mbovuuuu

-Huduma kwa wateja Mungu wangu yaani ndo kabisaaa

Kinachonifanya niendelee kutunza laini yao ni kwa sababu tu watu wengi wanaifahamu hii halafu kibiashara zaidi yaani dili nyingi napatia kupitia laini hii.
 
Maboresho yanafanyika, natumaini utafurahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom