TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,281
Hawa jamaa ni bure kabisa. Sasa hivi wamemleta kada wa CCM mwenye zero experience. Jamaa kazi kuuza sura kwenye vyombo vya Habari. Nashangaa walimfukuza Dr. Kamugisha na kumleta huyu asiyejua nini la kufanya...kweli nchi ya viwanda.

Watumishi ndani ya shirika hawamtaki kabisa huyu bwana maana yeye ndio kikwazo cha maendeleo ndani ya shirika

20170511_081743.png
 
sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .
 
Time itaongea
 
Aibu sana kwa kampuni tanzu yenye rasilimali zote kuendeshwa bila weredi. Haya ndio Tanzania yetu. Uhuru kenyata anasema kazi yenye mpe anaestahili utapata matokeo chanya. Tumeshindwa kuwekeza kwenye kilimo maana wananchi wanalima kwa dhana duni, tuanzishe vikundi kwenye vijijini vijana wapate mafunzo chini ya usimamizi wa serikali baada ya miaka mitatu wanaachwa inachukuliwa intake nyingine kwa vijana wanaofeli kidato nne baada ya mwaka tuananza uza chakula kwa nchi jirani maana zote hazijitoshelezi kwa chakula nchi itapata super profit
 
sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .

Wanajamvi......Ntawaletea taarifa kuhusu kashfa moja ndani ya hili shirika. Wataalamu wa TTCL na baadhi ya viongozi waandamizi wamekasirika kweli kweli. Wameudhiwa na urasimu unaoendelea ya kiutawala. Najaribu kutafuta nyaraka muhimu kisha ntawatumia. Kwa kifupi ni kwamba, kuna kampuni moja kubwa sana ya mawasiliano (satellite) ambalo kwa gharama yake ilikuwa tayari kuinyanyua TTCL. Jamaa walikuwa tayari kuja kuwekeza katika miundombinu ya TTCL na baada ya miaka mitano, hii miundombinu ingekuwa ya serikali kwa 100%. Sharti tu ni wagawane mapato yatakayotokana na huduma za hawa jamaa wa satelite.

Nasikia jamaa wamefukuzwa na shirika, huku shirika ikinunua huduma zao kupitia third party (dalali) kwa gharama za juu zaidi. Hii issue ni serious kwa maana kwamba, serikalii hii inatafuta wawekezaji wa kila aina lakini hawafanikiwi kuwapata hawa wakubwa. Ninawahaidi, Nikishapata nyaraka muhimu ntakuja kuzianika humu ndio mjue hii serikali kamwe haitafanikiwa.
 
Nashauri management ifumuliwe iwe kama Tanesco, huwezi kuamini leo hii Tanesco wanampigia mteja ili wakamuunganishie umeme hata siku za mapumziko, binafsi nimeona muujiza wa sungura kumkimbiza mbwa
 
Mkuu hii ni muhimu. Kadari wa chama hawezi kuwekwa kuendesha shirika muhimu kama hii....this is shameful. Anikeni hiyo kashfa. Pengine walizuia huo uwekezaji Kwa manufaa yao
 
Nashauri management ifumuliwe iwe kama Tanesco, huwezi kuamini leo hii Tanesco wanampigia mteja ili wakamuunganishie umeme hata siku za mapumziko, binafsi nimeona muujiza wa sungura kumkimbiza mbwa
Safi kabisa. TTCL ifumuliwe. Tanesco wanafika kuwapigia wateja simu? Siamini
 
sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .
Kwa style hiyo hatuwezi kuendelea isee…...ni sawa Baba mwenye nyumba kumpa majukumu, house girl ambayo alipaswa afanye Mama mwenye Nyumba.
 
Mimi Nafurahi TTCL imerudi kwenye Ushindani Wengine wana Chuki Binafsi na MKURUGENZI wa TTCL Nikiangalia Network yao ilivyo fasta kwa sasa Siwaelewi Nyinyi ni Wateja wa TTCL kweli?

We mtu unaambiwa wako down for a week we unaleta mambo ya speed.

Response yao kudeal na matatizo ni poor, nimetumia TTCL kwa muda sana, hawana kabisa technical personnel hasa wale onsite team.

Wenzao fiber(seacom) ikikata wanatumia backup sasa sijui wataalam wao wako usingizini week nzima.
 
Ndio maana hawachukua muda kutafuta chanzo na suluhisho la matatizo ya wateja. Usikute huko shirikani hakuna wanachokifanya zaidi ya kulia wanahujumiwa.
 
We mtu unaambiwa wako down for a week we unaleta mambo ya speed.

Response yao kudeal na matatizo ni poor, nimetumia TTCL kwa muda sana, hawana kabisa technical personnel hasa wale onsite team.

Wenzao fiber(seacom) ikikata wanatumia backup sasa sijui wataalam wao wako usingizini week nzima.
Shouting and Barking as a dog won't help you nenda Twitter kule watakujibu Mimi Niko DSM napata Internet Vizuri.
 
Mi sioni tatizo sana kwa wafanyakazi kwa waliosoma kidogo mambo ya teknolojia mnajua siku hizi utandawazi unakua kwa kasi pia mitaala yetu vyuoni tunasoma technojia za zamani kwa kwa sababu hata wanafunzi wetu wanakosa mafunzo ya tecknolojia mpya . Kumbuka kabla teknolojia simu kampuni za kodak na profoto walikua wauza film za kupigia picha je Leo kuna smartphone nani atanunua film? Wenzetu ufanya transition mapema sana je wafanyakazi wa ttcl waliandaliwa kupokea mabadiriko?. Likewise treni , ndege mpya na project nyingine tunaandaa watu watu wawe competent kwenye sector husika? Ndio maana yule raisi aliefariki akarithi mwanae Korea kaskazini alisomema mwanae ufaransa kwa kificho. Tunaitaji elimu ili miradi hiendelee
 
Back
Top Bottom