TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

Safi kabisa. TTCL ifumuliwe. Tanesco wanafika kuwapigia wateja simu? Siamini

Naomba uniamini Mkuu, tena kwa lugha ya unyenyekevu as if wanaongea na mkwe, sina hakika sana wanakuwa kwenye mazingira gani, ila pumzi inayosikika wakiongea ni kama wanakuwa wamepiga magoti
 
Shouting and Barking as a dog won't help you nenda Twitter kule watakujibu Mimi Niko DSM napata Internet Vizuri.

Biashara ya internet inahitaji umakini wa hali ya juu. Kuna makampuni hayawezi kusurvive bila internet base on the nature of their business.

Kama washindani wako (providers) washajua uzembe wako unaosababishwa na ujinga tu, then kwakuwa we Una ki moderm na kacomputer kamoja huwezi changamoto za kampuni kukosa net kwa sikumoja tu yet eti unasema TTCL wamerudi kwenye ushindani.

Before fiber walikuwa wanatumia nini? And why fiber ukiwa down they are dead until fiber issue resolved. At the mean time washindani wako ambao nao wanategemea pia fiber wako online..

Stuka kijana
 
sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .
Wataalamu gani waliofukuzwa?mbona Ndo walikuwa mafisadi .
 
Nashauri management ifumuliwe iwe kama Tanesco, huwezi kuamini leo hii Tanesco wanampigia mteja ili wakamuunganishie umeme hata siku za mapumziko, binafsi nimeona muujiza wa sungura kumkimbiza mbwa
Kwa taarifa yako menejimenti imeshafumuliwa Wamebaki wachache na huyo unayemsema kada ndo anafanya kazi hiyo bila woga
 
Safi kabisa. TTCL ifumuliwe. Tanesco wanafika kuwapigia wateja simu? Siamini
Niliwahi kuwapigia khs katizo la umeme, walifika na kurekebisha na walinipigia simu kuuliza kama umeme umerudi. Ishatokea zaidi ya mara moja, Tabata hiyo.
 
Biashara ya internet inahitaji umakini wa hali ya juu. Kuna makampuni hayawezi kusurvive bila internet base on the nature of their business.

Kama washindani wako (providers) washajua uzembe wako unaosababishwa na ujinga tu, then kwakuwa we Una ki moderm na kacomputer kamoja huwezi changamoto za kampuni kukosa net kwa sikumoja tu yet eti unasema TTCL wamerudi kwenye ushindani.

Before fiber walikuwa wanatumia nini? And why fiber ukiwa down they are dead until fiber issue resolved. At the mean time washindani wako ambao nao wanategemea pia fiber wako online..

Stuka kijana

ttcl wangeweka backup ya interneti. hii ndio shuluhisho siyo mvua zikinyesha interneti hakuna
 
Nashauri management ifumuliwe iwe kama Tanesco, huwezi kuamini leo hii Tanesco wanampigia mteja ili wakamuunganishie umeme hata siku za mapumziko, binafsi nimeona muujiza wa sungura kumkimbiza mbwa

Wapi uko mkuu?Site kwangu nahitaji nguzo tano na eneo ambalo watu wapo wengi tu jmn si wamgekuja kutuwekea na sisi
 
sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .
Usiwe mpuuzi wewe...Unapotoa allegations kama hizi jihakikishie una data
 
Mimi Nafurahi TTCL imerudi kwenye Ushindani Wengine wana Chuki Binafsi na MKURUGENZI wa TTCL Nikiangalia Network yao ilivyo fasta kwa sasa Siwaelewi Nyinyi ni Wateja wa TTCL kweli?
Competitors wameingia kwenye strategies za kijinga kabisa.
 
Hapo kwenye TTCL naomba niunge mkono bado huduma zao si nzuri, tena hawajipanui kwa kasi katika ulimwengu huu wa ushindani, kwa mfano Arusha ukitoka km 10 mtandao hakuna na hata mjini kuna maeneo mtandao nj shida. Wahudum wengi ni wale wa zamani, ambao wanafanyakazi kwa mazoea, ningemwomba Rais aliangalie kwa makini sana hasa menejimenti yake, Mkurugenzi na Meneja wa masoko. Tafadhali sana maana ndio Shirika la Umma.
 
Wanajamvi......Ntawaletea taarifa kuhusu kashfa moja ndani ya hili shirika. Wataalamu wa TTCL na baadhi ya viongozi waandamizi wamekasirika kweli kweli. Wameudhiwa na urasimu unaoendelea ya kiutawala. Najaribu kutafuta nyaraka muhimu kisha ntawatumia. Kwa kifupi ni kwamba, kuna kampuni moja kubwa sana ya mawasiliano (satellite) ambalo kwa gharama yake ilikuwa tayari kuinyanyua TTCL. Jamaa walikuwa tayari kuja kuwekeza katika miundombinu ya TTCL na baada ya miaka mitano, hii miundombinu ingekuwa ya serikali kwa 100%. Sharti tu ni wagawane mapato yatakayotokana na huduma za hawa jamaa wa satelite.

Nasikia jamaa wamefukuzwa na shirika, huku shirika ikinunua huduma zao kupitia third party (dalali) kwa gharama za juu zaidi. Hii issue ni serious kwa maana kwamba, serikalii hii inatafuta wawekezaji wa kila aina lakini hawafanikiwi kuwapata hawa wakubwa. Ninawahaidi, Nikishapata nyaraka muhimu ntakuja kuzianika humu ndio mjue hii serikali kamwe haitafanikiwa.
Mwingereza hujawahi kuwa na zuri hata moja kwa TTCL. Nina mashaka na interest yako
 
Hawa jamaa ni bure kabisa. Sasa hivi wamemleta kada wa CCM mwenye zero experience. Jamaa kazi kuuza sura kwenye vyombo vya Habari. Nashangaa walimfukuza Dr. Kamugisha na kumleta huyu asiyejua nini la kufanya...kweli nchi ya viwanda.

Watumishi ndani ya shirika hawamtaki kabisa huyu bwana maana yeye ndio kikwazo cha maendeleo ndani ya shirika

View attachment 507723
Nafikiri wanafanya biashara nyingine na tunavyojua....
 
Mwingereza hujawahi kuwa na zuri hata moja kwa TTCL. Nina mashaka na interest yako
Mkuu mimi kabwela kama wewe. Hao jamaa wanatangaza sijui 4G, sijui LTE. LTE my foot. kwa uwezo gani wlaiyonayo? Hili shirika linaelekea kubaya
 
TTCL inashangaza sana, wao ndo wana network kubwa nchi mzima, provider wengi wanaingia nao mikataba kutumia tower zao zilizoenea nchi nzima yet eti haohao wanawashinda.

Watumiaji wakubwa na wadogo wa internet wote kigezo chao ni reliability first, second how proactive you are pale Mteja anapopata shida, Kama net ni 98% 24/7 ipo online na your support is good plus good technical support team them hapo umeula, sio unapewa ka scenario kadogo then unashindwa. Hayo mambo ya speed ni hela yako tu provided Una mtu mzuri wa IT atakaye make sure internet is not abused.

There after inakuwa rahisi kutafuta wateja period.
 
Wadau hii ni kampuni yetu sote ila nini kifanyike ili iweze kwenda mbele. Nafikiri inabidi wajipange kwenye kujitangaza hasa....Roho inauma sana kampuni kama Halotel wamekuja juzi tu Leo wana wateja 1million. Mfano dar kupata vocha ni shida, ukifika bweni, bunju network chenga...
 
Hawa jamaa ni bure kabisa. Sasa hivi wamemleta kada wa CCM mwenye zero experience. Jamaa kazi kuuza sura kwenye vyombo vya Habari. Nashangaa walimfukuza Dr. Kamugisha na kumleta huyu asiyejua nini la kufanya...kweli nchi ya viwanda.

Watumishi ndani ya shirika hawamtaki kabisa huyu bwana maana yeye ndio kikwazo cha maendeleo ndani ya shirika

View attachment 507723

brother majungu ayasaidii, acha CEO kijana afanye kazi tumeona mengi amefanya kwa jamii tumeyaona. sisi tulijkua kampuni imekufa kuja kwake imekuwa mkombozi.
 
Back
Top Bottom