Taasisi na Mashirika ya Kiserikali yoteeee, yameshindwa Biashara Mkuu!
Halafu baadaye biashara ikiwa ngumu, Wajumbe wa Bodi watakutana watajadiri Ushauri toka Marketing Department kuhusu kufanya Promotion, watalipa pesa ndefu ya matangazo kwa TV, wakimtumia Mrisho Mpoto, lenye kauli mbiu "MTANZANIA PENDA CHA KWAKO"
Sio Tanesco, Dawasco, TTCL, Government Media, ni Bure tu, na hawatakuja kubadirika.
Shame on them.