TTCL na Posta Tanzania jifanyieni tathmini upya

kweli.posta ni wazee tu wamejaa we fikiria toka tarehe 19/05 parcel imefika posta ya arusha ikatakiwa waiforwad waje posta ya meru ambapo ni karibu mnoo na hapo lakini cha ajab mpaka leo holaaaa
 
Nguvu wanayoitumia kwenye PR ilihali sijawahi kukutana na mtumiaji wa TTCL sishangai wakitangaza hasara.
Ukilala na malaya dai risiti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mmeamka na hangover za Posta na Simu. By the way wao nao wangekuja na thread spesho kama Voda, TCRA ama Tanesco ili wateja wapate kumwaga povu huko.
 
mandezi tu wale hakuna lolote saiz wapo na mabucket.
Nissan wanasema 'Innovation that excites'
 
Hii yote sababu ya urasimu. UDOM, UDSM, MZUMBE, SUA unadhan kwa mwaka wanazalisha vijana wangap wenye ujuzi wa haya mambo.

Tena uzuri siku hizi watu wanasomea kabisa Management ya Corporates lakin ndio wanaambiwa wakajiajir kuuza juice za miwa huku maofisin wazembe wamekalia viti.

Mimi Posta sitak kabisa kusikia hawa vibaka, kuna mwaka niliwah kufata mzigo wa cheti hawa jamaa walinitesa siwez sahau wala kuelezea.

Yani hawa jamaa sio business oriented, I'm sure wanajiendesha kihasara, hawa jamaa customers care yao ni Zero kwa asilimia mia moja, Yani mpaka nashindwa kuelewa Competitive Strategies zao ni zipi? Au ndo kumaintain status quo kuwa shirika la serikali.

Zitto njoon mpitie huku hawa jamaa wanafaa kutumbuliwa kabisa, ifike mahali uzembe ukome
 
Pole mkuu mimi nilimwaga chozi kabisa nikimtazama muhudumu mtu mzima kama mama yangu ananijibu 'labda uje week ijayo tuutafute ...sijui register book imefanya nini sijui vitu gani hata alichozungumza ni lugha ngumu kama prescription ya doctor. Sio ya kumjibu mteja aliyekereka na huduma zenu.

Nilimtazamaa machozi yakanitoka nikamwambia asante mama [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
fukuza mabibi na mababu lete damu mpya ...hyo bibi anatafuta nini kwenye digital? wakati wake ulikuwa analog atupishe!!!

na hya mambo hta tbc yapo ndyo maana shirika linakuwa la kizee!!
 
Pole mkuu mimi nilimwaga chozi kabisa nikimtazama muhudumu mtu mzima kama mama yangu ananijibu 'labda uje week ijayo tuutafute ...sijui register book imefanya nini sijui vitu gani hata alichozungumza ni lugha ngumu kama prescription ya doctor. Sio ya kumjibu mteja aliyekereka na huduma zenu.

Nilimtazamaa machozi yakanitoka nikamwambia asante mama [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Pole sana Msichana Mrembo
 
Nilikutana na kijana wa posta anajisifu kuwa sasa huduma zetu zimeboresha hasa EMS nikamwangalia kwa dharau halafu nikacheka, baadaye nikamshauri awaambie mabosi wake wafanye hata ubunifu wa kuwa na ofisi kwenye stendi za mabasi ili wanaosafirisha mizigo wawajue kama wapo kuliko kujifungia ofisini na kujisifu ujinga
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Kichina
 
Ela zinazowekezwa kwenye ndege ambazo haziji kuwa na faida, zingewekezwa TTCL na POSTA ndani ya mwaka mmoja kungekuwa na faida ya ajabu..
 
Asante ndugu Mkurugenzi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeandika kwa uchungu sana... Sasa unaona vipi ukakopi paragraph ya ttcl ukawatumia kwenye website yao na hao posta ukawatumia pia!

Naungana na wewe kwenye wizi wa posta!!
 
JF is the perfect platform where every one talks openly and freely vivyo hivyo kwa wasomaji.

Nani anafungua website ya POSTA nani anafungua website ya TTCL ? Kama wamo humu watoe majibu wanatembelewa na users wangapi kwa siku kwenye website zao.

Mkuu usifikiri utani haya mashirika ni mizigo kwa nchi hii.
 
Huwa nawaza sana why Airtel, voda, Tigo wame overtake TTCL shirika kongwe na la umma within a minute? TTCL jitafakari upya
 
Mashirika ya Umma ni shamba la bibi kumejaa walevi, Wagonjwa hoi,Wahuni Hakuna kufukuzana bora siku zinaenda unategemea output gani.apo kama sio Watu kufanya kazi kwa mazoeaa ili mradi salary inasoma tena mapema tarehe 23 au 24, Mimi naona hizi huruma za Ma HR kurundika Wafanyakazi mizigo ndio kuna ua mashirika yetu ya umma, mtu amekuja job hoi chakali still mnambeba
 
Ni shaachana nao kitambo niko voda na tigo lakini shirika la posta nalo ni wazembe sana katika huu ulimwengu wa digital wangeufaidi sana upande wa logistics kuingia ubia na mitandao ya manunuzi ndani na nje ya nchi lakini wao wanata bawasili la matako kwa kukaaa kizembe tu
 
Nakushukuru kwa kusema duku duku langu. Huu si muda wa kuendeshwa na mawazo mgando, au mawazo ya enzi za nabii Mussa. Tunahitaji watu wenye mawazo yaliyo mapana.
 
Wa TTCL ni kijana kabisa huyu hapa

View attachment 791717

Wa Shirika la Posta pia ni huyu kijana pia

View attachment 791718

Ila wafanyakazi wenzao wa chini yao ni 90% wazee. Wanaamkiana SHIKAMOO tupu kuanzia getini watapata wapi ujasiri wa kuwa nyoosha wanapokosea [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa upande wa shirika la posta now kuna potential kubwa mno ya usafirishaji wa vifurushi,...hii km itapata muongozo mzuri inaweza kuwa na turn over ya hatari

lakini ndyo ivo wahusika wamelala usingizi wa pono wanasubiri sekta binafsi zianze wakishatawala soko wao ndyo waje na figisu kibao kuwakwamisha
Sekta binafsi washaanza siku nyingi halafu hawa wanataka kuja kuleta sheria eti hizo sio njia rasmi. Kama wameshindwa wawaache wenzao wapige kazi. Kuna mitandao kama jumia wanaweza kuingia ubia lakini wapi.
 
Kuna jamaa yuko uingereza alileta uzi hapa anakwambia dhl wanasupply mizigo hadi kwenye masupermarket kuanzia mboga za majani hadi mayai!!

Sasa just imagine wenzetu wanavyojua kujiongeza
 
Back
Top Bottom