mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Naendelea kutafuta line ya kuperuzi internet, je hawa TTCL speed ikoje...
Kwa anaejua hii please
Kwa anaejua hii please
Mie kigamboni napata 4G spidi safi sanaIko slow sana Kigamboni
Wanazngua sana yani ukitumia mtandao wao hakikisha uwe na backup mda wote maana mtandao wao mara ukatike Mara urudi.Aiseee Mimi Naitumia Hiyo Line Kudadadeki Naisoma Namba, Hadi mda Mwingine inanibidi nijiunge kwa mitandao Mingine Maaana Speed Ni ya Konokono hadi Unaitaji kuliaa..
Ila Credit Nawapa Kwenye Vifurushi sio Speed
Unatumia simu au modem mi natumia modem ya H+Mie kigamboni napata 4G spidi safi sana
Router ya 4gUnatumia simu au modem mi natumia modem ya H+
TTCL Inazidiwa na HALOTELINTERNET yao 3G na 4G zote mbovuuuuu,,nakushauri kama ulikuwa unataka kutumia TTCL achana nayo kabisa.
Msalimie
-John Nyali
-Joachim Kisasa
issue ni mahala ulipo,Hata sielewi
wengine mbovu,wengine fresh
sasa sijui inakuaje
Sasa mimi sijui kwa nini Kigamboni iko slow sana modem yangu ya H+ inacheza 67kbpsissue ni mahala ulipo,
TTCL wana LTE advance (source nyengine zinasema ni advance pro japo naona kama wamechapia) ni 4G ya kisasa ambayo ipo nchi chache duniani. ukiwa na kifaa kizuri cha 4G na upo eneo ambalo TTCL ipo vizuri basi utapata speed ya maana, 20mbps kuendelea.
Mimi nimetumia TTCL kivule, ni mbali sana na mjini na nilikuwa napata bar 1 tu na wakati sipati kabisa network, ila speed ilikuwa haishuki 10mbps.
sababu sio 4g, hata signal hapo nahisi ni ndogo.Sasa mimi sijui kwa nini Kigamboni iko slow sana modem yangu ya H+ inacheza 67kbps
So unanishaurije Chief Mkawa?sababu sio 4g, hata signal hapo nahisi ni ndogo.