BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Kweli chief TTCL kwa eneo langu haifai nina laini ya Chuo Voda so acha nile maishahapo hakuna hata mjadala mkuu, komaa na voda. tafuta line ya chuo au line yenye kifurushi kizuri cha ya kwako tu.