TTCL kwisha habari

TTCL kwisha habari

Gharama za services za mkongo wa taifa ni kubwa sana na wanashindwa kuhandle isee.
hawa service.provider.Wengine wanapita kwenye miundombinu hiyo hiyo ya ttcl na bado wako cheap!!
Ni hujuma za waziwazi tu
 
Kiukweli TTCL nimeikatia tamaa kwanza 1. Nikinunua vocha haiingii yote 2.Network shida 3. Customer care mbovu 4. Vifurushi ghali kuliko mitandao yote
Customer Care Zero Plus ....
 
Hivi Kuna watu Bado wanatumia ttcl kweli.......!
 
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Wanufaika wa huo uwekezaji wa TTCL ni Airtel
 
Expect nothing from this mentality..........'SI MSHAHARA UNAINGIA !!!!!'
 
Back
Top Bottom