TTCL kwisha habari

TTCL kwisha habari

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
 
Ttcl ni yetu wa Tanzania kwa 100% au kuna wabia?,
Kama ni ya kwetu kwa 100% taifa linashindwaje kuipendelea ili ndio iwe kimbilio la mtanzania? Kwa kila kitu kuanzia bando, talks time na mengineyo!
 
Gharama za services za mkongo wa taifa ni kubwa sana na wanashindwa kuhandle isee.
 
Mitandao mingine inawezaje na inalipa kodi wakati TTCL ni Mali ya umma na inasua suave. .
 
Lihujumiwe na Nani?

Shirika halina Ubunifu, mijitu kufanya kazi kwa mazoea, directors hawana targets wanafanya kazi wanavyojisikia na hakuna systems za kuwabana unataka Shirika lisife?

By the way nini cha serekali kinafanya vizuri na kwa faida?

Wabongo tumezoea ku point fingers na kulaumu vivuli. Tunatengeneza vitu kichwani visivyo na uhalisia alafu tunavibebesha lawama tunaanza kuvilaumu kwa kushindwa kwetu badala tutatafute visababishi vya kweli na tusioneane haya kupambana navyo.

Unavyowaza wewe kuwa eti linahujumiwa ukute hata wanaotakiwa kuwajibika wanawaza hivyo hivyo alafu wanaishia ku point finger upande huo.
 
Ttcl ni yetu wa Tanzania kwa 100% au kuna wabia?,
Kama ni ya kwetu kwa 100% taifa linashindwaje kuipendelea ili ndio iwe kimbilio la mtanzania? Kwa kila kitu kuanzia bando, talks time na mengineyo!
Toka lini tukasimamia vitu vyetu kwa ufanisi

Hapo tusilaumiane yaani mtu amesoma zake engineer huko hana abc zozote juu ya biashara unaenda kumkabidhi taasisi kubwa km ttcl aendeshe kibiashara unategemea nini??
 
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Shirika lipo kwenye sekta ya ushindani unaohitaji akili kubwa, bahati mbaya serikali yetu si unajua utendaji kazi wake?, Basi TTCL iwe reference kwa mashirika mengine kama ATCL.

Ngoja nikupe mkasa kidogo ulionikuta... Kuna kipindi walibadili karatasi za vocha ya buku, zile vocha mpya sehem ya kukwangua ilikuwa ngum kidogo na delicate,nilikuwa nakwangua hadi namba za vocha. Nilifikisha kama vocha nane hivi nimekwangua vibaya na bahati nzuri vocha zote nilikuwa nazihifadhi.

Sku moja nikawapigia huduma kwa wateja, hapo ndo niliona mauza mauza na kuwaza kama ulivyowaza lakin badae nilipata jibu kuwa halihujumiwi. Nilipiga simu siku ya kwanza nikahudumia vizuri nikazitaja serials number za vocha zote wakaahidi watalifanyia kazi ndani ya masaa 24 then nitarudishiwa tokens za vocha nikatoa na ushauri warudishe zile karatasi za awali, nikaambiwa tumeupokea ushauri wako. Baada ya masaa 24 niliyoahidiwa kimya. Zikapita siku tatu kimya, sku ya nne nikapiga simu. Nikaanza upya kujielezea tatizo langu. Ahadi ikiwa kama siku ya kwanza.

Inshot nilipiga simu zaidi ya mara tano, huyu wa mwisho nikama tulikaliliana, nikamuuliza ebu niambie kinaga ubaga tatizo liko wapi kwa kitu kidogo hivyo. Akasema mandet ya kushughulikia vocha hawana wanachofanya ni kureport kwa muhuska na details za tatizo. Nikamuuliza muhuska kasafiri akasema yupo. So hapo nikajiongeza mwwnyewe (typical ni kama yule nurse aliekuwa anamwambia mkemia unautaka ufanyakazi bora).

Kipindi hicho DG alikuwa somebody Waziri, nikatafta email yake, nikamwandikia email ya mararamiko yangu jinsi nilivyohudumiwa na hadi sasa sjapata msaada wowote ule, kwenye email nikabbc.

Technically akajua hapa yawezekana nimebbc mkubwa, si unajua tena enzi za jiwe..

Siku hiyo hiyo nilipigiwa simu zaidi ya mara tatu kusoviwa tatizo langu, simu nyingine ilipigwa saa tatu usku kuulizwa kama tatzo langu limeisha.

Huyu wa mwisho nilimwambia tatizo ni mifumo yenu ya kiutendaji haiko sawa, watu hawawajibiki, hawafanyi system checkup kujua pending issues zinakwama kwa nani. Nikamwambie nyie mpo mpo tu, nikamuuliza mnajua ni wangapi wameacha kutumia simu zenu kwa tatizo la kupoteza hela kwenye vocha? And Y didn't you value my feedback...

Mambo ni mengi......
 
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
TTCL ilikuwa inafanha poa enzi za JK na sio Magu, klianza kupata down fall enzi.za magu

Before ttcl walikuwa na huduma nzuri mnoo ktk internet huduma ilikuwa affordable mnoo
 
TTCL IINGIE UBIA NA MTN KWA SHARE YA 50% KWA 50%.OVER!
MTN NI KONGWE NA INAWEZA USHINDANI HASA BARANI AFRIKA.
::kihistoria watanzania tulishashindwa kusimamia biashara zetu toka enzi za mwalimu, tusipate shida kwa hili.
 
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
HIYO NI KAZI TUKUFU YA FISADI ROSTAM
 
TTCL ilikuwa inafanha poa enzi za JK na sio Magu, klianza kupata down fall enzi.za magu

Before ttcl walikuwa na huduma nzuri mnoo ktk internet huduma ilikuwa affordable mnoo
Kipindi cha jpm wala haikuwa na jipya ila jpm ndo mpaka laini zikamza kupatikana mtaani
Vocha
Nk

Kampeni ya rudi nyumbani ndo ikaimarisha sana
Mwanzoni mwa 2017 hivi watumishi wa umma ikawekwa lazma uwe na ttcl
 
Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu

Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?

Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu

Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa

Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?

Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?

Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?

Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa

Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Mashirika mengi ya serikali hujifia pasipo sababu za maana isipokuwa uongozi mbovu na maono hafifu.
 
Back
Top Bottom