Bei mpya zilikuwa kwenye site yao hivi karibuni:
http://www.ttcl.co.tz/broadband_pricing.asp
Lakini naona wameziondoa.
Punguzo lilikuwa kwenye bundles tu, na bei ya 1MB nje ya bundle ilikuwa inabaki 95TZS. Bei mpya zilikuwa kama ifuatavyo:
1GB => 30,000
2GB => 60,000
4GB => 100,000
10GB => 200,000
20GB => 360,000
40GB => 450,000
100GB => 1,000,000
Inawezekana wameamua kuzificha kwanza mpaka zitakapoanza kutumiaka.
Au inawezekana wameamua kuzipitia upya baada ya kupata feedback za watu kuhusu hizo bei.