ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 483
Wadau natumia Samsung tab 3. Nashusha muvi kutumia hiyo simu ila kinachonikera natakiwa kukesha usiku maana kila baada ya lisaa limoja yaani dk 60 net inajizima. Haiendelei hadi ni restart simu ndio interneti inawaka tena naombeni maujanja niache kukeshe tatizo ni nini?