Unamaanisha yule wa MSI DETCOM?Hii kampuni mpaka leo huwa inanisikitisha ...Yule Mnyakyusa na Airtel laana hii iwaendee milele..
Serikali imekwishachukua umiliki wote.Muda mfupi ujao itakuwa mikononi mwao bila mwanahisa yoyote.
nenda tanesco ujionee balaaJamani TTCL wameanza kubadilika katika kutoa huduma, aisee wameboresha kitengo chao cha huduma kwa wateja.
Juzi kati nilipata tatizo nikaripoti ndani ya muda walikuwa wameishafika ofisini tofauti na zamani duuu! Hapo ningelia tu.
Vilio vyetu wameishaanza kuvisikia. Kama una tatizo we jaribu ucheki
Bravooooooo,
We sema tu kuwa umemuona Yule mdada mashallahHata Leo nimewaona mitaa ya Morocco pale ilipo Airtel wakitangaza biashara na mabango barabarani ile mpya ya 4g lite na warembo
o ukanunue we unadhani wamemuweka bure hahahahaWe sema tu kuwa umemuona Yule mdada mashallah
Duuh! unaonekana wa Kitambo shikamoo brother!Dah ttcl nawakumbuka sanaa enzi zilee za reverse call unapiga wanalipa home shida uko shule dada wa kazi amebadilishwa hakujui anaulizwa anachomoa unaumbukaajee kwa opereta