Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,674
Punguza ukali wa maneno basi.TTCL limeoza customercare hakuna kitu wahudumu wamekaririshwa kuwajibu wateja.Mimi nilihamia TTCL kutoka AIRTEL lakini imebidi nirudi AIRTEL.....wahudumu wana kauli chafu na majibu ya maudhi.
Niliwatembelea pale Mlimani City nilikuwa nimelipia huduma kwa T-Pesa zaidi ya siku tatu huduma imekatwa,hela zangu wamechukua na ni lini nitarudishiwa hela zangu hawajui!
nimefuatilia hadi kwa incharge wao lakini majibu ni ya kipuuzi tu mara utajerejeshewa hela zako baada ya masaa 24 kesho ukiulizia unaambiwa hela zako zitarudishwa baada ya masaa 48 yaani ni vurugu tu.
nasikia mkurugenzi wao alikuwa teller wa Diamond Trust bank ameajiri vimada wake na ndio kawapa nafasi za juu za uendeshaji shirika ndio maana mambo hayaendi.
Mbona unawavunjia heshima wenzio.