BIA BORA
Senior Member
- Oct 21, 2013
- 144
- 164
Wakuu lile shirika letu la simu kwa 100% limeanza kufufuka, wana CEO kijana wa takribani 36 years (hypothesis), naona wamejikita kwenye GSM na juzi wamezindua MOBILE MONEY.
Kwakuwa ni shirika la umma kwa 100%, na nimewaona wako active kidogo huko FB.
Tuwape ushauri, tuwakosoe na kuwasaidia kupitia uzi huu.Nina uhakika yule kijana CEO lazima atapita humu.
Mimi naanza
1. TTCL fungueni official account humu JF mara moja