Kwa hiyo wewe Engineer wa ttcl hakukuwekea hiyo code?Labda ndiyo maana ikawahi kukata. Nakushauri uongee vizuri na huyo jamaa yako akufafanulie vizuri,ni kitu gani hasa walimfanyia kwenye modem yake.Othewise,siku hizi ni vigumu sana kuwachakachua hawa jama,sio kama zamani.