kwenye bundle zao za unlimited hovyo kabisa kwa mfano mimi na package ya unlimited 1mbps speed ya ku download haivuki 40kbps wakati nikitumia unlimited bomba 30 ya voda baada ya gb 2 kuisha speeed kupungua inafika sawa na ttclunlimited 1mbps ambayo nalipia 110000 wakati voda 30,000 ndo maana ttcl hawaendelei mkonga ulivyokuja tukajua speed za kufa mtu kumbe mambo yalaele kiboko yake weka 10,000 kwenye package yao ya limited yayenye speed 8mbps haichukui round inaisha fasta nenda kenya package za unlimited speed farasi wanatumia mkonga huu uliopita hapa kwetu