TTCL Broadband Wapumbavu($%#$!)

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
TTCL yani wajinga sana mm ninapiga customer care hawapokei! wakipokea wanakwambia subiri....na pia TTCL Broadband Internet haifanyi kazi leo siku ya TATU!!! ninapiga simu wananiekea mziki! nasubii dakika tano bado nina piga tena subiri wanapokezana simu then hakuna kinachowanfika wananipeleka huku mara kule kwenye simu..WTF?? si unijibu tu kwamba Internet haiwanyi kazi nitaelewa sio unanizungushaaa
 
pole sana mimi nadhani ufike tu ofisini kama kuna uwezekano huo au ikiwa kuna mtu unamfahamu anatumia pia jaribu kujua kwa upande wake iko vipi. Mara nyingi customer care ni wapuuzi, mm walinisumbua kwa cm bila msaada ktk modem zao ila nilipofika haikuchukua hata dk10. Wkt mwingine wanajua kupokea simu tu
 
K mm nimetoka custimer care kulipia waliniambia internet inafanya kazi..naenda home haifanyi! halafu mm nitaenda tena kesho ila ni wasumbufu sana..
pole sana mimi nadhani ufike tu ofisini kama kuna uwezekano huo au ikiwa kuna mtu unamfahamu anatumia pia jaribu kujua kwa upande wake iko vipi. Mara nyingi customer care ni wapuuzi, mm walinisumbua kwa cm bila msaada ktk modem zao ila nilipofika haikuchukua hata dk10. Wkt mwingine wanajua kupokea simu tu
 
ndio tanzania yetu na customer care zake baada ya miaka 50 uclalamike sana mkuu
 
kwenye bundle zao za unlimited hovyo kabisa kwa mfano mimi na package ya unlimited 1mbps speed ya ku download haivuki 40kbps wakati nikitumia unlimited bomba 30 ya voda baada ya gb 2 kuisha speeed kupungua inafika sawa na ttclunlimited 1mbps ambayo nalipia 110000 wakati voda 30,000 ndo maana ttcl hawaendelei mkonga ulivyokuja tukajua speed za kufa mtu kumbe mambo yalaele kiboko yake weka 10,000 kwenye package yao ya limited yayenye speed 8mbps haichukui round inaisha fasta nenda kenya package za unlimited speed farasi wanatumia mkonga huu uliopita hapa kwetu
 
Yani unachoongea Bigboe ni sahihi sana pia TTCL ndio wanaponiudhi hapo! mimi mwenyewe nililipia ttcl unlimited 110000 1MBPS ivyo ivyo unavyo sema speed yao ilikuwa 40KB/s Download speed ambayo inasikitisha sana! yani jamaa ni matapeli kabisa!
kwenye bundle zao za unlimited hovyo kabisa kwa mfano mimi na package ya unlimited 1mbps speed ya ku download haivuki 40kbps wakati nikitumia unlimited bomba 30 ya voda baada ya gb 2 kuisha speeed kupungua inafika sawa na ttclunlimited 1mbps ambayo nalipia 110000 wakati voda 30,000 ndo maana ttcl hawaendelei mkonga ulivyokuja tukajua speed za kufa mtu kumbe mambo yalaele kiboko yake weka 10,000 kwenye package yao ya limited yayenye speed 8mbps haichukui round inaisha fasta nenda kenya package za unlimited speed farasi wanatumia mkonga huu uliopita hapa kwetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom