Usijalibu kuunga internet ya Ttcl ni majanga mwenye wazo hilo futa mimi nilikuwa mteja wao wa unlimited ya nduki kilo moja na nusu kwa mwezi kila mwezi nilikuwa nalalamika tu ukiwapigia wanakwambia zima moderm subiri dakika 5 speed natakiwa kwenye package yangu nipate 200kbps napata 30kbps wakamtuma fundi wao home akaona tatizo lipo kwao kila siku danadana nikaamua kuachana nao mvua ikinyesha tu usitegemee hata siku moja kupata internet lain ikiharibika utawabembeleza kama huduma watakupa bure ku recharge mpaka uende kwenye ofisi zao s upuuzi huu kama nakumbuka kuna mwezi ninilipia nikapata net kea siku tatu tu