comred
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 1,867
- 1,611
Wameanza Roaming wakishirikiana na Tigo nadhani ni kuanzia mwezi wa 7 mwishoni, ukiwa na simu ya kitochi ukiweka line ya TTCL unaendelea kupata huduma kama kawa
hili nimeliona wamefanya vema sana kuanzisha Roaming..mtandao hausuisui tena
Lakini kwenye upande wa vifurushi vya internet hapa naona wmeanza kuwehuka..