TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Wana wateja wachache sasa hv[emoji18]
 
social network bureeee??? ina maana hata nkimaliza hyo 1GB leoleo hizo Mb za social network zitakuepo au ndio bando likikatA unapita hivi
 
I know TTCL since broadband kwakweli hawa jamaa wako hot....ila sijajua coverage yao ikoje nnje ya dar na maeneo ya pembezoni mwa mji
 
hiyo bei ndo siiwezi wakati voda 2000 napata 3gb kwa siku 5
 
afad
yani hiyo 4G ya TTCL uozo mtupu...kama unataka stress nunua uone plus wako expensive af hamna kitu waiiii....
hal

afadhalo umenistua.ninge ingia ttcl kumbe nayo ni hovyoo.kama airtel.mi natumia airtel .aisee inaboa sana.yaani ukishafika maeneo ya pugu inakata.mpaka saa nne usiku.natafuta kwa kuhamia kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…