CURRENT ISSUE
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 256
- 57
Kwa Zimbabwe jifunzeni,na wala sio Zimbabwe tu hata hapa Kenya kwa majirani zetu.Fikiria kidogo aje mwanao wa kumzaa aanze kungangania kuingia chumbani kwa baba,utamkubalia???Kama huwezi kubali basi jua na wengine ndio hivyo hawawezi kukubali kiulaini hivyo.Cha kufanya kuepusha shari mpishe.Jione ulivyo na ujinga..Tofauti na Tanzania Mugabe ni mtetezi wa wananchi wake dhidi ya dhuluma za mabeberu na pia anapinga ufisadi..Wewe unashauri nini?? peleka hizi hoja zako kwenye familia yenu na usituletee upuuzi hapa..Mugabe ni mtetezi wa rasilimali za watu na sio muabudu mabwana wa MAGHARIBI kama walivyo CCM..
Eti "tuwape walioshikilia mpini tayari" shame on you!!.
Jione ulivyo na
ujinga..Tofauti na Tanzania Mugabe ni mtetezi wa wananchi wake dhidi ya
dhuluma za mabeberu na pia anapinga ufisadi..Wewe unashauri nini??
peleka hizi hoja zako kwenye familia yenu na usituletee upuuzi
hapa..Mugabe ni mtetezi wa rasilimali za watu na sio muabudu mabwana wa
MAGHARIBI kama walivyo CCM..
Eti "tuwape walioshikilia mpini tayari" shame on you!!.
Kwa Zimbabwe
jifunzeni,na wala sio Zimbabwe tu hata hapa Kenya kwa majirani
zetu.Fikiria kidogo aje mwanao wa kumzaa aanze kungangania kuingia
chumbani kwa baba,utamkubalia???Kama huwezi kubali basi jua na wengine
ndio hivyo hawawezi kukubali kiulaini hivyo.Cha kufanya kuepusha shari
mpishe.
Ila si hali halisi,acha kujidai hujui yanayoendelea Zimbabwe.Mtabadili sana ID mwaka huu, eti mtoa mada nae ni mtu mzima aliyekaa chini na kuwaza nn cha kuandika,
Kwa Zimbabwe jifunzeni,na wala sio Zimbabwe tu hata hapa Kenya kwa majirani zetu.Fikiria kidogo aje mwanao wa kumzaa aanze kungangania kuingia chumbani kwa baba,utamkubalia???Kama huwezi kubali basi jua na wengine ndio hivyo hawawezi kukubali kiulaini hivyo.Cha kufanya kuepusha shari mpishe.
Dalili zote zinaonyesha kuwa waziri mkuu wa Zimbabwe yatamkuta yaliyomkuta Raila wa Kenya.Maeneo mengi aliyokuwa na wabunge sasa yamechukuliwa na chama tawala cha rais Mugabe.Wananchi walijitokeza kwa wingi sana kuchagua kiongozi wampendaye,na kwa matokeo ya ubunge yanavyoonyesha,kwa upande wa rais watampa Mugabe na ndio maana Tsvangirai ameanza kutoa shutuma mbalimbali.Hivyo kwa matokeo haya Watanzania tunapaswa kujifunza kwa wenzetu.Tusikurupuke kuchagua tu,tufanye tathmini ya nani anafaa kuwa kiongozi wa taifa letu.Uchaguzi wa 2014 utusaidie kufanya hilo,tusiruhusu kujifunza kwa njia ngumu kama waliyotumia Zimbabwe.Wamejifunza hivi walivyofanya baada ya umwagaji wa damu mwaka 2008,hivyo hivyo na Kenya.Chonde chonde watz tusiingie kwenye hali hiyo,tufanye maandalizi mapema ili kuepusha vurugu,tuwape walio shikilia mpini tayari.
Jione ulivyo na ujinga..Tofauti na Tanzania Mugabe ni mtetezi wa wananchi wake dhidi ya dhuluma za mabeberu na pia anapinga ufisadi..Wewe unashauri nini?? peleka hizi hoja zako kwenye familia yenu na usituletee upuuzi hapa..Mugabe ni mtetezi wa rasilimali za watu na sio muabudu mabwana wa MAGHARIBI kama walivyo CCM..
Eti "tuwape walioshikilia mpini tayari" shame on you!!.
Ila si hali halisi,acha kujidai hujui yanayoendelea Zimbabwe.By WISE BOY
Mtabadili sana ID mwaka huu, eti mtoa mada nae ni mtu mzima aliyekaa chini na kuwaza nn cha kuandika,