Tsunami ya maboresho ya server iliniathiri.

mbalu

JF-Expert Member
May 18, 2012
550
242
Jamani nalazimika kujitambulisha upya kwani nimekuwa mgeni ndani nyumba, baada ya kukubwa na gharika la matengenezo na maboresho ya server yetu wiki iliyopita. Mimi ni wenu yule yule mbalu
 
Last edited by a moderator:

mbalu pole sana best kwa kifungo hicho cha muda uliokuwa kisiwani. Karibu tena.
 
Last edited by a moderator:
Jamani nalazimika kujitambulisha upya kwani nimekuwa mgeni ndani nyumba, baada ya kukubwa na gharika la matengenezo na maboresho ya server yetu wiki iliyopita. Mimi ni wenu yule yule mbalu

karibu tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom