Tshirts kali sana

Tshirts kali sana

Toa maelezo zaidi ya physical address ya hapo Goba Njia nne.
Kwetu huku, tutatembelea hapo shop kuchukua mzigo.
Ukifika njia nne pale unakula hii inayoenda kimara ukivuka tuta la pili upande wa pili kuna petrol station inajengwa sasa upande wa pili utaona kuna fremu tatu moja wapo ni saluni, utaalamu ndo upo hapo
 
✅ Quality Assured
✅ Blessed size M - 3XL
✅ 12,000
IMG-20260922-WA0142.jpg
IMG-20260922-WA0132.jpg
IMG-20260922-WA0131.jpg
IMG-20260922-WA0136.jpg
IMG-20260922-WA0133.jpg
IMG-20260922-WA0138.jpg
 
Back
Top Bottom