tshirts inayoongoza kwa mauzo dar na arusha

attachment.php

Hata mie nimeihusudu sana....wapi inapatikana hii?
 
wakati ule wa utawala wa george.w.bush wapinzani wake walichonga saaaana kuwa marekani imejichafua kisiasa nje,na mmarekani hana amani hata ya kutembea katika nchi yoyote kwa amani endapo tu atajulikana kuwa ni mmarekani,akaingia obama kwa mbwembwe zote watu wakajua marekani sasa itakuwa pepo ya dunia,haikuchukua hata mwaka nchi nzima ikakumbwa na mtikisiko wa uchumi ndani ya nchi,na nje ya nchi matatizo yakabaki pale pale.........
kwa kifupi:hata chadema hizo mbwembwe zitaisha wakishashika madaraka tu na mfumo wa omba omba ndio huo huo marekani na wafadhili wengine wameshawaowa kimawazo mda tu,hiyo chadema yenyewe mipasuko mitupu kinachowalinda ni kuwa wote mnagombania maslahi na lengo hamjalifikia,mkilifikia tu mtakuwa kama c.c.m.
maneno hayo yakumbukeni,sijawahi kupiga kura na sitopiga kura kwa kuwa sina imani na yoyte mpaka sasa na hata slaa ni mbwembwe tu,siku zipo mtakuja kuamini,kila mtu anapigia kelele maslahi yake na ya kundi flani,mwananchi na matatizo yake ni kama chambo tu,na yeye ndio muathirika wa mwisho

Basi wewe ndiye unayeiweka ccm madarakani kwa kutopiga kura kwa chadema au kutotumia haki yako ya msingi. Embu achana huo ujinga na uwe unapiga kura.
 
wakati ule wa utawala wa george.w.bush wapinzani wake walichonga saaaana kuwa marekani imejichafua kisiasa nje,na mmarekani hana amani hata ya kutembea katika nchi yoyote kwa amani endapo tu atajulikana kuwa ni mmarekani,akaingia obama kwa mbwembwe zote watu wakajua marekani sasa itakuwa pepo ya dunia,haikuchukua hata mwaka nchi nzima ikakumbwa na mtikisiko wa uchumi ndani ya nchi,na nje ya nchi matatizo yakabaki pale pale.........
kwa kifupi:hata chadema hizo mbwembwe zitaisha wakishashika madaraka tu na mfumo wa omba omba ndio huo huo marekani na wafadhili wengine wameshawaowa kimawazo mda tu,hiyo chadema yenyewe mipasuko mitupu kinachowalinda ni kuwa wote mnagombania maslahi na lengo hamjalifikia,mkilifikia tu mtakuwa kama c.c.m.
maneno hayo yakumbukeni,sijawahi kupiga kura na sitopiga kura kwa kuwa sina imani na yoyte mpaka sasa na hata slaa ni mbwembwe tu,siku zipo mtakuja kuamini,kila mtu anapigia kelele maslahi yake na ya kundi flani,mwananchi na matatizo yake ni kama chambo tu,na yeye ndio muathirika wa mwisho

Naunga mkono hoja. Siasa ni mchezo wa ajabu sana wanajamii. Tunahitaji kweli mabadiliko. Tunahitaji kuwang'oa ccm kweli, maana ilipofikia inatosha. Lakini swali ni je, kwani cdm si hawahawa waliokua sisiem mwanzoni?! Si hawahawa tunaishi nao humu kama tunavyoishi na hawa sisiem. Kwani ukiwa cdm rushwa ndo huli?!
Tufanye mabadiliko ndio, lakini tusiwe 'too optimistic', 'too overexcited'!
Ila na wewe mkuu kuacha kupiga kura sipo ishu......
 
Back
Top Bottom