tshirts inayoongoza kwa mauzo dar na arusha

wakati ule wa utawala wa george.w.bush wapinzani wake walichonga saaaana kuwa marekani imejichafua kisiasa nje,na mmarekani hana amani hata ya kutembea katika nchi yoyote kwa amani endapo tu atajulikana kuwa ni mmarekani,akaingia obama kwa mbwembwe zote watu wakajua marekani sasa itakuwa pepo ya dunia,haikuchukua hata mwaka nchi nzima ikakumbwa na mtikisiko wa uchumi ndani ya nchi,na nje ya nchi matatizo yakabaki pale pale.........
kwa kifupi:hata chadema hizo mbwembwe zitaisha wakishashika madaraka tu na mfumo wa omba omba ndio huo huo marekani na wafadhili wengine wameshawaowa kimawazo mda tu,hiyo chadema yenyewe mipasuko mitupu kinachowalinda ni kuwa wote mnagombania maslahi na lengo hamjalifikia,mkilifikia tu mtakuwa kama c.c.m.
maneno hayo yakumbukeni,sijawahi kupiga kura na sitopiga kura kwa kuwa sina imani na yoyte mpaka sasa na hata slaa ni mbwembwe tu,siku zipo mtakuja kuamini,kila mtu anapigia kelele maslahi yake na ya kundi flani,mwananchi na matatizo yake ni kama chambo tu,na yeye ndio muathirika wa mwisho

Hebu tuondolee udhaifu wako hapa.....nani kakwambia utuimbie shairi sa hizi.....kilaza bana.
 
kasheshe ni kwamba haitochukua muda itapigwa marufuku chezeya ccm wewe.

Hilo ndilo nina hofu nayo!
Wangekuwa wazi muda huu ningefika chap!
Pakajimmy hana nambari yao niwapigie kama wana uwezo wa kwenda kunipa muda huu kweli!
Mkuu kama unazo No yao nidondoshee niwaseach hewani chap.
 
kasheshe ni kwamba haitochukua muda itapigwa marufuku chezeya ccm wewe.

Waanze kupiga marufuku zile za chagua JK......ari mpya, nguvu mpya na kasi zaidi.....manake maneno hayaendani na hali halisi.....hiyo ya dhaifu inaendana na uchumi wa nchi yetu!
 
jamani hawa wahindi wa Cheap in Town hawawezi uza hizi Tshirt, labda kama ni Branch ya Mustapha Sabado naamini nitazikuta
 
Mie siwezi nunua, sababu haijaspecify, nani dhaifu. Mwisho nionekane mie dhaifu buree.akhaaa.
 
Publicity na lauching ya T-shirt imekuja siku mbili baada ya mbunge mmoja kutimuliwa bungeni kwa kumtaja binadamu mmoja kuwa ni Kiongozi dhaifu.
 
wakati ule wa utawala wa george.w.bush wapinzani wake walichonga saaaana kuwa marekani imejichafua kisiasa nje,na mmarekani hana amani hata ya kutembea katika nchi yoyote kwa amani endapo tu atajulikana kuwa ni mmarekani,akaingia obama kwa mbwembwe zote watu wakajua marekani sasa itakuwa pepo ya dunia,haikuchukua hata mwaka nchi nzima ikakumbwa na mtikisiko wa uchumi ndani ya nchi,na nje ya nchi matatizo yakabaki pale pale.........
kwa kifupi:hata chadema hizo mbwembwe zitaisha wakishashika madaraka tu na mfumo wa omba omba ndio huo huo marekani na wafadhili wengine wameshawaowa kimawazo mda tu,hiyo chadema yenyewe mipasuko mitupu kinachowalinda ni kuwa wote mnagombania maslahi na lengo hamjalifikia,mkilifikia tu mtakuwa kama c.c.m.
maneno hayo yakumbukeni,sijawahi kupiga kura na sitopiga kura kwa kuwa sina imani na yoyte mpaka sasa na hata slaa ni mbwembwe tu,siku zipo mtakuja kuamini,kila mtu anapigia kelele maslahi yake na ya kundi flani,mwananchi na matatizo yake ni kama chambo tu,na yeye ndio muathirika wa mwisho
Hoja DHAIFU!!
 
Na wewe nidhaifu.
Wakati nyerere anataka ukombozi wa Tanganyika wazungu walisema hawezi lakini kwa sababu walikuwa dhaifu alichukua nchi.Na ccm hivyo hivyo ni kama wakoloni tu.
 
Waanze kupiga marufuku zile za chagua JK......ari mpya, nguvu mpya na kasi zaidi.....manake maneno hayaendani na hali halisi.....hiyo ya dhaifu inaendana na uchumi wa nchi yetu!

tatizo la nchi hii ni kwamba mtu akujiskia kufanya jambo ataanzishiia hoja za kikuda utasikia ooh............haya ni matusi kwa serikali mye natamani kweli hata lile la kusema ni upuuzi wa ccm liwekwe kwenye tshirts. miye yatolewe yote tuvae tu mkiweka dhaifu, toa nyingine upuuzi an so on
 
attachment.php
CCM Dhaifu!.jpg
Na hii hapa pia!!
 
Back
Top Bottom