TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

Mbona ndo mshahara wa wengi wetu tumia kujiendeleza hasa masomo ya jioni ni kidato cha sita kama wewe mchepuo pcb, lakini sasa niko mbali natarajia kujiunga na chuo kwa mshahara huo huo
 
Muandishi wa Mada na Mchangiaji wa kwanza ni mtu mmoja, jaribuni kufuatilia kwa makini namna na staili zake za kuandika.

Kiukwel ht hyo hla naon kma wamempendelea kuandika kwnyew ni shiiiiida ss hyo form 6 ni ya div 5 or 7? Lets think critically sio kwamba katanguliz hatak kejel cjui bla bla nyiiingi hzo zooote ni kujilinda kw umbulula.
Kesho mshangae hao wanaovunja vunja lugha bungeni....Tz tunaelekea wp?!
Hpo hpo unajiita msomi?!....
 
Ndg Watanzania mlioko ndini ya nchi na nyije ya nchi, Naombeni msaada..!

Mimi nimefeli form six mwaka 2012 katika shule ya fulani hapa Tanzania na kombi yangu ilikuwa ni PCM.
baada ya kufeli nikarudi nyumbani kijijini kwetu.
Familia Pamoja na wakajijij wakawa wamenitenga kutokana na kukomba hela za nyumbani kwa ada. hafu nikafeli
nikaamua kuja dar es salaam,
nikabahitaka kupata kuajiliwa katika kampuni fulani
mshahara wanatoa TSH 260,000.

Naombeni mawazo yenu nifanyaje? au niwekeze wap?

NB; Sihataji kejeli, kashafu n.k
kama unaona huwezi bora kaa kimnya.

Don't be awestruck, ur job is not ur source....God is your source.
 
Siku hizi jf pumba
nyingi sana unalalamika mshahara wakati ulipotoka maisha majalala,
kuna walinzi wanalinda ucku kucha wanalipwa elfu 80 na mtu anajitoa kufanya coz ana dream alizojiwekea
mshahara huo ni mkubwa acha ujinga
 
Hivi ana cheti huyu?
Siku Zote Pesa Huwa Haitoshi Na Binadamu Hana Tabia Ya Kuridhika Kwangu Hiyo pesa Ni Kubwa Sana Hata Kama Nina Familia. Ni Aibu Kwa Kijana Wa Form Six Hujui Hiyo Pesa Utaiendelezaje, Kuna Watu Wanalipwa 40000 Lakini Maisha Yao Ni Zaidi Ya Anayepokea Milioni. RIDHIKA KAA CHINI TAFAKALI UNGEKUWA JIRANI YANGU NINGECHANA CHANA CHETI CHAKO CHA FORM SIX.
 
Wewe unataka nini kwenye hii dunia? kama unataka kusoma, itunze kwaajili ya kusoma.
Unataka nini dogo?
Usibabaike watu kukurushia madongo, wengi humu ingekua tunatoa comment kwa kuandika na kalamu basi wangerudishwa pre unit....
 
Mi mshahara wangu wa kwanza nililipwa laki mbili siku ananiambia nilihisi kulia nikakubali nikafanya miezi kadhaa nikapata experience nikasepa ikanisaidia sa hivi nalamba pesa ya maana kiroho swafiiii
 
Laki mbili na nusu mbna nyingi tu. Ni kujipanga. Work experience is all needed for now
 
Wewe unataka nini kwenye hii dunia? kama unataka kusoma, itunze kwaajili ya kusoma.
Unataka nini dogo?
Usibabaike watu kukurushia madongo, wengi humu ingekua tunatoa comment kwa kuandika na kalamu basi wangerudishwa pre unit....

Kila la kheri ndg mawazo ya kujenga kabsa.
 
Mkuu tafuta kikundi cha vicoba faida yake uta dunduliza mtaji ili upate mtaji mkubwa.itakua hivi:
Vicoba huwa wana weka hisa kuanzia elf mbili(2000)kwa wiki lakini jinsi unavyo jiwekea hisa zaidi ndio Una weza kukopeshwa zaidi.mikopo huwa wana tripple.mfano ume weka hisa mfululizo ndani ya mwezi mmoja zikafikia 3m,3*3=9m.hapa huwezi jiajiri mwenyewe kwa mtaji huu?rate zao ni 10% tu.hapa kijana mwenzangu utashindwa kukomaa???
 
Mi mshahara wangu wa kwanza nililipwa laki mbili siku ananiambia nilihisi kulia nikakubali nikafanya miezi kadhaa nikapata experience nikasepa ikanisaidia sa hivi nalamba pesa ya maana kiroho swafiiii

Sasa mdada hapa ume mshauri au ume jipa promo?
 
Back
Top Bottom