TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

tuliza kichwa na ondoa papara ya maisha, baada ya muda utajua nini cha kufanya.
 
Take care of the pennies and the pounds will take care of themselves

Huo mshahara si kidogo km nimtundu wa ku make waingereza wanasema hvi ' TAKE CARE OF THE POUND AND THE POUND WILL TAKE CARE ITSELF "
 
Mkuu kwakuwa umesoma sayansi olevo nenda UDOM kuna kozi ya Education mpya kwa diploma mkopo asilimia 100% pia ajira baada ya kumaliza ni uhakika directly from the govt kama unaweza fanya haraka application sababu deadline ni kesho kama sikosei,
 
nitumie contact pm
 
Mimi napokea kama hiyo, naishi na wadogo zangu wawili(wanasoma), Mke Matumizi yangu ni kama ifuatavyo:-Unga 15kg(15elf), Mchele 15kg(25elf), Maharage 5kg(10elf), Dagaa(5elf), Sukari 5kg(10elf), Mkaa(15elf) Halafu namkabidhi waifu cash 80elf(total 160000, balance 100,000) na mwezi unaisha(Nipo Mwanza, Nb: inabidi uwe na mke mwelewa na kama upo peke yako(bachala) haikutoshi kamwe.
 
Mimi home ni mwanza lakini kwa sasa niko dar es salaam
nakuhakikishia kwamba maisha ya mwanza ni simple kuliko dar.....!
 
Muhimu pia ni kupata experience ya kazi na kimaisha - baada ya mwaka utajikuta ume eilimika na kuweza kuweka mipango mizuri. Usifikirie mambo ya kufeli - hayo yamepita na huwezi kubadili kitu muhimu pata somo humo ili uweze kufanikisha maisha yako katika kazi. Nakuombea mema
 
Asante sana...!
 
Asante sana.?.
 
Usitake kuishi maisha ya mshahara wa Millioni....Utapata shida sana.....

Halafu pesa huwa haitoshi..

hebu jiulize ulipokua ukizikomba nyumbni ulikua unabakisha hata nusu ya hiki unachokipata??? na je walikua wanaishije na pesa zote umezikomba?? jibu ni rahisi sana............ (ila mimi sikwambiii)
 
Mimi napokea kama hiyo, naishi na wadogo zangu wawili(wanasoma), Mke Matumizi yangu ni kama ifuatavyo:-Unga 15kg(15elf), Mchele 15kg(25elf), Maharage 5kg(10elf), Dagaa(5elf), Sukari 5kg(10elf), Mkaa(15elf) Halafu namkabidhi waifu cash 80elf(total 160000, balance 100,000) na mwezi unaisha(Nipo Mwanza, Nb: inabidi uwe na mke mwelewa na kama upo peke yako(bachala) haikutoshi kamwe.

hamtumii umeme? sawa inawezekana! hamnywi maji na hamuogi? hiyo haiwezekani!..hamsafiri so hamtumii nauli? hiyo inawezekana! jee hamuumwi? na hamwendi hospitali?..hiyo haiwezekani!.. hamlipi kodi ya nyumba?.. hiyo inawezekana! hamvai nguo so hamnunui? hiyo haiwezekani!...Mkuu maisha ni zaidi ya huo mchanganuo wako maisha ya sasa magumu na huwezi kuyamudu kwa mchanganuo kama wako!..inawezekana umepata mke mwelewa sana lkn hujui ni namna gani anateseka na huo ugumu wa maisha yenu usichukulie poa tuu na kumsifu waifu wako kwa kumudu maisha magumu!..
 
Maisha yanahitaji descipline sana,ukimessup kidogo lazma yakutoe out of the system,hiyo kazi usiikatae,hiyo hela si ndogo lkn inaweza ikawa ndogo usipokuwa makini nayo,pia kumbuka kujiendeleza na kuwekeza kwa hicho hicho kidogo utakachopata.
 
Muandishi wa Mada na Mchangiaji wa kwanza ni mtu mmoja, jaribuni kufuatilia kwa makini namna na staili zake za kuandika.
 
Back
Top Bottom